PART II: Ukiniacha nakuroga hadi kuku

PART II: Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Gojaga Nize

We we utalogwa turn Lea sababu umeshamtekenya name name kichwa ingawa hakikuingia!!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaaa...sasa atakuroga ukimuacha..utakuwa unaamka asubuhi unaimba ko ko riiiiiikoooooo....hahahaaa, ebu muamini Mungu ndugu yangu, hivi havitakuumiza
 
Jamaa uoga tu huna lolote...na utarogwa tu maana hakuna namna nyingine sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom