Wadau naamini mko poa.!
Niende kwenye mada, ni hivi; siku hizi gharama za kulea watoto wa kike zimepanda sana ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla ya 1990. Siku hizi mtoto wa kike akifika miaka...
Habari zenu waheshimiwa,
Nahitaji msichana ambaye nitaweka naye malengo ya mimi na yeye kuja kuwa mke na mme hapo baadae so hata kama bado anasoma(chuo) si vibaya.
Nipo seriuos katika...
Habari zenu waungwana,
Nimejitokeza humu kutafuta mchumba,nahitaji mwanamke aliye seriously,mimi ni mtumishi wa Serikali,sihitaji mwanamke mwenye kazi,ila nahitaji mwanamke nwenye elimu ya...
Habari wanaJF,
Nimekuwa member wa JF kwa mda mrefu sana, toka 2011 nimejifunza vingi sana hasa katika jukwaa hili la MMU. Naweza kusema sasa nimekuwa gwiji katika lile tendo takatifu la...
Mambo vipi wanaume wenzangu?
Nina na mrembo wangu, kila akija geto akinikuta nafanya kazi yoyote {kufua au kupika} yeye badala anisaidie, anafika kulala tu.
Hivi anafaa kuolewa kweli huyu?
Kuna wadudu fulani miaka ya nyuma tulikuwa tunawafukuwa ardhini halafu unamweka kwenye chuchu eti manyonyo yakuwe.
Mnawakumbuka?
Walikuwa wanaitwa 'FUKUFUKU'
hivi wanapatikana wapi? white rose
Jambo Tanzania?
Mimi ni Edu, 26.6 njoo tufanye maisha ila sifa ndio lazima uwe unajua kuongea na kusikia Kihaya au Kinyambo au Kiganda au Nyankole, tena uwe Mkristo, elimu yako weka kando ila uwe...
Juzi hapa nikaingia choo cha kike, kam wiki 2 zimepita, nilikua nimegombana na mpenzi wangu nikaamua kutaka kuanzisha mahusiano mapya.
Nikataka kuanzisha mahusiano na wadada wa saizi ya kati ya...
Wakuu,
Ni njia gani ya kumuacha msichana pasipo yeye kujua?
Maana nimejarbu kumpotezea taratibu akashtukia,kaniuliza maswali kibao nimejbu yaliowezekana.
Wakuu nipeni mbinu mnawezaje?
Hamjambo wadau?
Nimekuja hapa kupata msaada wa ushauri kwa hali yangu hii,miaka ya nyuma kidogo nilikua nina furaha sana katika love and sex life yangu,japo nilikua sina mpenzi mmoja ila...
Habari zenu wanajamvi?
Nilikuwa na mchumba yeye alikuwa anasoma chuo nilikuwa nimehitimu mafunzo ya computer kwa bahati nzuri nikapata ajira kwenye shirika fulani,tukakubaliana tuvumiliane hadi...
Awe na uwezo wa kutuliza akili yangu na kunifanya nisahau niliyokutana nayo,ajitahda sna kuwa mwaminifu.
Awe binti make mie mwanaume.
Mengine call 0768688289;
Nilivyoanguka kimahaba kwa *Msichana* wa Facebook
Nina miaka 20+ nasoma chuo kikuu alichosoma Warioba, Pinda, Membe, Jk2, nkkatika kupita pita kwenye mitandao mwaka 2012 wakati niko advance...
Wana JF,
Katika kundi la wanawake wanaojinadi wanajua mapenzi, huu ni wakati wa kuwauliza wanajua mapenzi yapi, au watuambie wanajua ku-act mapenzi ili wawalizishe wanaopenda kupata mavituz hili...
Mara nyingi nimekutana na watu wa aina hii(waliozaa kabla ya kuolewa, achilia mbali waliozaa utotoni na wakiwa bado shuleni), huwa wanaonesha misimamo ya kutokuwa kabisa na habari za kuolewa na...
Najivunia kuwa muafrica pia najivunia rangi yangu ya kiafrica na sitamani kujibadirisha rangi yangu.
Je wewe unayejibadirisha kwa rangi ya dukani ni urimbukeni au?
Au wanaume chanzo cha mdada...