Majhura fikiri
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 121
- 13
Almost of girls wa saivi wanapenda sana boys wenye pesa hawampendi mtu kama mtu wanampenda kwa sababu ana kitu.
Kwaiyo katika mapenzi akiumizwa anaanza kuwachukia boyz wote! Wakati sisi wengine hatujawahi kupendwa kabisa kwahiyo msituchukie wengine!
Na saivi wana sema mapenzi pesa but sura nitakuvumilia!Teh teh teh teh!