okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,653
Hello,
Kuna trend nimeanza kuiona haswa ninapojaribu ku-socialize na watu wa jinsia zote mbili - ke na - me kuwa mara nyingi najaribu ku interact na watu mpaka nahisi kama vile najipendekeza kwao.
1) Eg mtu ulisoma nae secondary na mlikuwa na a very good friendship baada ya Kupotezana kwa mda mrefu cku ukija kumtafuta mnaongea vizur the first day, cku nyingine anaku promise kuwa atakupigia then anakulia buyu, hata sms anachelewa kujibu au hajibu kabisa especially girls, (cjui labda wanahis ntawatongoza mm sielewi)
2) Naandika sms ndefu then mtu anakujibu 'k' sio kwamba yupo busy ila basi tu
3) Nikijikaza na kuamua kukaa mwezi mzima bila kuwasiliana na mtu watakaonitafuta kwa ajili ya kunijulia hali au kupiga stoty na mimi approximately hawazidi watu 5 out of contacts 105 za watu watu wa karibu nlizo nazo kwenye simu yangu.
4) Mimi sina hulka ya kuwa mkali, na niko peace with almost every one sielew tatizo nini au jamani hili ni swala la kawaida kabisa.
5) Saa nyingine mpaka najihisi ni kwa sababu mm sio tajiri ndo maana watu wananipotezea. Nimechoka ku feed other people's ego
Jamani kuna mwingine ana experience tatizo kama hili au?