Mrembo wangu hanisaidii kazi akija nyumbani

Mrembo wangu hanisaidii kazi akija nyumbani

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,633
Mambo vipi wanaume wenzangu?

Nina na mrembo wangu, kila akija geto akinikuta nafanya kazi yoyote {kufua au kupika} yeye badala anisaidie, anafika kulala tu.

Hivi anafaa kuolewa kweli huyu?
 
Kama huwezi kufanya hizo kazi si utafute Housegirl? Mwenzio amechoka na kazi za huko alikotoka anakuja kwako kupumzika wewe unataka kumpa mikazi...

Asante sana kwa hili.mtu uskute katoka kwao kadeki,kaosha vyombo,kafua miguo,kawapikia wanyumbani afu baada ya apo kaenda kumsalim beb.ye nae anasubir afanyiwe kazi.kah!
Piga kazi zako kabla hajaja kama vip.
 
Kwani huyo mrembo wako mkataba wenu ni kukusaidia kazi?? punguza uvivu na akili finyu mtoa mada.

Ndo maana ndoa nyingi zinavunjika nowadays cause wanaume (wale wasiojielewa) hufikiri kuoa ni kuleta mfanyakazi home.

Siku hizi hawa viumbe wamesoma na wanatafuta kama wewe unavyotafuta ndipo hufika mahali na kuona kuwa kuolewa sio kuwa mtumwa na kuamua kuwa huru.

Hapo ni kwako fanya kazi zako na usipende aje akute pachafu. OVA
 
Hahaha kumbe ndo nyie mnaotaka GF akufulie, akupikie etc. Sawa yako.....huyo kafata mapenzi ama sivyo tafuta housemaid au peleka kwa dobi eboooo

Yani wanaume wa bongo wasipovyojua mapenzi mie choka
 
Kwani ndoa ni u-house girl?

Kama ni mtamu oa, hizo kazi zingine mtaajiri wafanyakazi
 
Eboh
Kuwa girlfriend ndio akufanyie kazi??????????????

Girlfriend au mchumba sio nafasi yake kukufanyia kazi..... oa mke muajiri watumishi
 
Huyo hakufai kabisa tena narudia tena hakufai huyo.....Hulka ya mwanamke haifichiki hata kama amechoka kiasi gani..... Hata kupika mkuu....wasikudanganye watoto wa chipsi utamu wa mke ni kukuandalia mahanjumati japo mara moja moja.... Mimi pamoja na yote wanayoongea hawa waliozoea kufuliwa hata chupi na maHG bado mke bora hata kwa maongezi anaonekana.
 
Ulimuomba akusaidie akakataa au jaribu kumwambia
Ujue amekuona unaosha sahani moja na visufuria viwili sasa Hapo usaidiwe nini
 
Ukiona hivyo mawazo yake kwako ni dyudyu na ajakuweka kuwa baba wa familia wa baadae

Lingine tatizo lenu mkisaidiwa mnasahau kuoa mkomeeeeee 😏😏😏😏😏😏
 
Mambo vipi wanaume wenzangu?

Nina na mrembo wangu, kila akija geto akinikuta nafanya kazi yoyote {kufua au kupika} yeye badala anisaidie, anafika kulala tu.

Hivi anafaa kuolewa kweli huyu?

Kakwambia kaja kupika? Yeye kaja hapo kwa ajili ya ''gemu'' tu kisha asepe zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom