Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binadamu wa humu Jf huwa wanasema kwamba eti sredi za SUPER gala D ni za kutunga, lakini nawaambia kuwa huwa ni mikasa ya kweli kabisa ninayokumbana nayo na huu ukiwemo. Niliwahi kuwaambia hapa...
2 Reactions
91 Replies
12K Views
Nahitaji rafiki wa kike wa kuchat nae! asiwe ameolewa, awe mwenye heshima kwa rika zote!!! asiwe mlevi, asiwe mpiga vizinga.kama upo tayari ni PM Fursa fursani wakuu!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sifa yake kubwa hutoa mifano na mwanga kwa wengine, haina show offs nyingi zisizo na staha haina mashindano ya ndani ya ndoa wala nje ya ndoa. Kipimo upimacho ndicho utakachopimiwa, ukipimwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Upendo wangu na haupo kwake kiukweli upo kwa mdogo wake, lakini nilishindwa kuwa wake kabla ya dada yake kufanya mambo yake kweli nimeamini chelewa chelewa utakuta mwana si wako'. Kwa jinsi...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa 27yrs,nina fanya kazi na kampuni moja hapa mjini.Kuna shemeji yangu mke wa kaka yangu ananizidi miaka km 10 hivi, ni mzuri kwa sura na tabia pia. Amekuwa shemeji wangu wa karibu...
1 Reactions
81 Replies
14K Views
Watoto wengi wa mitaani chanzo ni wazazi kugombana au watoto wengine kukataliwa na baba zao, japo siku izi imekuwa kama business juu ya waombao. Lakini bado najiuliza kichwani pindi mkiwa juu ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Inasemekana idadi ya vijana wanao jichua (punyeto) inaongezeka kasi sana hasa ikijikita kwa vijana wasio kunywa pombe wa kilevi cha aina yoyote. Kulingana na udadisi mkubwa tulio fanya idadi...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu? Mimi kijana wa miaka 23,ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto wa 8 baba mmoja(two wifez). Nimelelewa katika familia ya kidini sana na huku baba yangu akiwa mtu...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habarini za ijumaa wana jamvi wenzangu, Hilo swali nimeliweka hapo kwa niaba ya rafiki yangu ambae ndio anakutana na tatizo hilo kutoka kwa mkewe. Rafiki yangu aliniomba ushauri; Kaka nimekuwa...
0 Reactions
57 Replies
13K Views
Husikeni na somo hapo juu, Yani hata akikuona unacheka naye au ukamtania ama yeye akakutania, basi moto lazima uwake chumbani, sasa unajiuliza mke wangu anataka kunijengea taswira gani kwa dada...
1 Reactions
96 Replies
9K Views
Heshima kwenu MMU, CAUTION; Imefanyiwa utafiti kwamba a woman can speak 50,000 words per day wakati a man speaks only 5,000 per day. Hiyo ni ukitaka kulinganisha. Guys kama unataka kufa...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Nikiongelea swala la kumjua mtu anayekupenda, nashindwa kujua mtu ili ujue anakupenda anatakiwa afanyeje au ufanyeje ili ajue unampenda? Ingawa pia wanaume/ wanawake wengi wakishajua wanapendwa...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari kwenu wadau, Nipo kibaruani blue monday hii. kuna jamaa analalamika wanawake wanaojielewa kuwapata ngumu sana. Wanaume wa ukweli,wanawawahi mapema vyuoni huko na mashuleni on their early...
1 Reactions
94 Replies
11K Views
Mpenzi wangu alinisaliti nikagundua nikaamua kumuacha na nikaachana nae kwa mda wa miezi mitatu.Baadaa ya hiyo miezi akarudi kuniomba msamaha kwamba tuludinane alitaleza ndo maana aliyafanya hayo...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Ni lazima nibaki na msimamo huu pamoja na ukweli kuwa rafiki zangu wamenishauri ni tafakari lakini hii haiwezekani, nilitokea kumpenda binti mmoja ambaye toka yupo kidato cha tatu tumekuwa...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Oleweni /oeni wa kuwazidi umri ili muwapunguzie siku za kuwalilia duniani.Huo ni ushauri aliotupa bibi yetu ambaye alifariki tarehe 05.03.2015; Tunamuombea kwa Mungu ampumzishe kwa Amani. Hii...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
(By Leandie Buys) My clients are often very surprised to find that some of their biggest relationship ‘hang-ups’ are the result of inadequate education about sexuality when they were younger...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
LADIES ONLY. (INAHUSU WANAWAKE) Najua sio wote mtapenda ninachoandika leo lakini kwa watakao fanyia kazi haya itakuwa msaada kwao na punde mtanipigia simu na kunijia inbox kushukuru kwa ujumbe...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Mfano, una ndoa ya miaka 4 na kwa kweli kwa sector ya kufanya mapenzi, tumeshiriki vizuri sana. Sasa unataka kubadilika unataka kufanya mahusiano yetu yazidi haswa, hahahaha yaani kuwa...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Back
Top Bottom