Gharama za kulea watoto wa kike zimepanda sana

Gharama za kulea watoto wa kike zimepanda sana

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau naamini mko poa.!

Niende kwenye mada, ni hivi; siku hizi gharama za kulea watoto wa kike zimepanda sana ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla ya 1990. Siku hizi mtoto wa kike akifika miaka 11 tayari kapevuka, mzazi anaandaa mahitaji ya binti yake kama pedi, na nyembe za kunyolea "ikulu" na kwingineko.

Hivi mbona enzi za mwalimu mtoto wa kike alikuwa hana gharama kubwa katika matunzo na alikuwa analipiwa mahari kubwa, tofauti na sasa ambapo gharama za malezi ni kubwa na mabinti wengi hutolewa bure au kwa mahari kiduchu?

Naomba mchango na ufanunuzi juu ya mada husika.

Asanteni wote
 
Hahaha unataka hayo majukumu ayafanye nani?
 
Dawa ni moja tu.
Kuwa Padri. Basi.
Utakuwa umeepuka gharama nyingi tu sio watoto peke yake.
 
Gharama zinaingiliana vipi na mahari?
ni kama unalalamika gharama za kufuga kuku wa mayai
huku bei ya mayai inashuka

Kwani lazima mahari iwe kubwa?
ikifutwa kabisa je utaona sio sawa?
gharama za nyembe na sidiria? ada je?
kwa wa kiume unapowalipia ada...kuna 'rejesho' lolote unapata?
why wa kike uzungumzie mahari?
 
Naona unawaangalia kama kitega uchumi maana msisitizo upo katika mahari.
 
Nani kakwambia mahari inalingana na gharama uliyomkuza mtoto, ingekuwa hivyo basi wengi wasingeweza kulipa mahari watakayotajiwa
 
Watoto wa kike wa zamani na wa sasa hivi wana utafauti mkubwa sana. Wa sasa wanazaliwa wazuri sana kiasi kwamba matunzo yao pia ni gharama. Utakuta kitoto cha kike kimependezeshwa mpaka raha yani, kananukia, kazuri, kamevaa vizuri, hata kenyewe kanajijua utaona ni kadogo lakini kanaringa. Raha sana kuwa na katoto ka kike.
 
Ninachotaka kusema ni kwamba miaka hii kupanda kwa gharama ni kuwa watoto wa kike wanapevuka mapema,akifika miaka 11 tu,mzazi/mlezi unaanza kazi ya kumnunulia brazia/sidiria,nyembe,pedi nk wakati miaka ya nyuma ilikuwa mpaka afike miaka 16+ sasa wewe huoni gap ya miaka ambayo kima hesabu ingeweza kuokoa hizo pesa? sidiria/brazia,nyembe na pedi zilikuwepo miaka hiyo ila matumizi yake yalichelewa kuanza kwa mabinti tofauti na ilivyo leo.

Nyongeza,suala la mahari kupungua pia ni lazima lijadiliwe kwa nini mabinti wa miaka hii wanaolewa kwa mahari kiduchu au kwa mkopo,shida iko wapi au suala la kuanza ngono mapema na kupoteza bikra huenda ikwa sababu ya mahari kupungua,au watu kuishi kisasa zaidi,naomba nipate mawazo yenu wadau.

Ninaamini kuwa mahari haiwezi kufidia gharama za malezi ya binti ila ni heshima binti kuolewa kwa mahari stahiki.


haya matusi sasa kwahiyo wa tisini walikuwa hawavai sidiria, hawanyoi au sijaelewa huu uzi
 
Sina maana hiyo..........ILA mahari ni heshima kwa binti anayeolewa hasa kwa mila za kitanzania.

Naona unawaangalia kama kitega uchumi maana msisitizo upo katika mahari.
 
Hahaha what gives, man?

Ila binafsi naogopa sana kupata mtoto wa kike, nitapata kesi na dhambi nyingi sana. Cuz you make her cry, i shoot you; you look at her in a typa way, i shoot your face; she sees your joystick, i chop it off. I will turn Toni Montana's Toni Montana.
 
Cherish your daughters and treat them right.

Do not deprive them of anything and least of all love.

Be close to them and give them proper upbringing.

The world is not so kind to girls.
 
Miaka ya 1990? Mbona wengi tulikuwa tumesazaliwa? Binafsi nilikuwa tiyar dunian tho mdogo ila kila kitu nilikipata na kwa vile nilikuwa mtoto wa kwanza. Nikiangalia pic zangu natamani nirudi utoton.
 
Sasa tupo ulimwengu mwingine coz mambo yanaenda yakibadilika
Ht ww ulivyokuwa zamani na sasa ni tofaut kutokana na mfumo wa maisha
 
Natafuta mtoto wa kike sasa, wa kiume nimeshapata.
I want that lovely cute voice in my house!
 
Hahaha what gives, man?

Ila binafsi naogopa sana kupata mtoto wa kike, nitapata kesi na dhambi nyingi sana. Cuz you make her cry, i shoot you; you look at her in a typa way, i shoot your face; she sees your joystick, i chop it off. I will turn Toni Montana's Toni Montana.

Hell no men. You killed.....
LMAO.
 
Nafurahi nikimuona bby girl wangu..
Na hivi nikimwangalia namwona babaake nafurahi zaidi..namshukuru sana Mungu kwakutufanya Mimi Na babaake kuwa wazazi..
 
Ninachotaka kusema ni kwamba miaka hii kupanda kwa gharama ni kuwa watoto wa kike wanapevuka mapema,akifika miaka 11 tu,mzazi/mlezi unaanza kazi ya kumnunulia brazia/sidiria,nyembe,pedi nk wakati miaka ya nyuma ilikuwa mpaka afike miaka 16+ sasa wewe huoni gap ya miaka ambayo kima hesabu ingeweza kuokoa hizo pesa? sidiria/brazia,nyembe na pedi zilikuwepo miaka hiyo ila matumizi yake yalichelewa kuanza kwa mabinti tofauti na ilivyo leo.

Nyongeza,suala la mahari kupungua pia ni lazima lijadiliwe kwa nini mabinti wa miaka hii wanaolewa kwa mahari kiduchu au kwa mkopo,shida iko wapi au suala la kuanza ngono mapema na kupoteza bikra huenda ikwa sababu ya mahari kupungua,au watu kuishi kisasa zaidi,naomba nipate mawazo yenu wadau.

Ninaamini kuwa mahari haiwezi kufidia gharama za malezi ya binti ila ni heshima binti kuolewa kwa mahari stahiki.
Mbona tangu mwanzo hukuweka huu uchambuzi wako?
 
Back
Top Bottom