Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana Jf, Mimi natafuta mke wa kuoa, awe mcha mungu, umri miaka 22 hadi 35. Tafadhali ayetayari ani PM
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilitokea kumpenda binti flani chuoni, kila tulipoonana alionyesha dalili za kuwa interested na mimi.Sikusita kumweleza hisia zangu, bahati nzuri alikua keshanielewa hata kabla yakumwambia...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Wakuu, Mimi ni Kijana wa miaka 21 sasa nina mpenzi ambaye tumekutana kama mwezi umeisha sasa kweli tunapendana lakini imetokea mushkel baina yetu. Mara ya kwanza tulipokutana kwa ajili ya kula...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Habari, Nyimbo hutukumbusha matukio mbalimbali yaliyopata kututokea hapo nyuma.Matukio haya yanawezakuwa ya furaha au huzuni katika swala zima la mahusiano. Binafsi nikisikia wimbo wa "Missing...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Nipo Singida, akiwa mtumishi idara yeyote hata askari pia coz mimi pia ni askari, umri wangu 25yrs. Namba 0768114209.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi nipo Mwanza natafuta marafiki wa kuchart nao pamoja. Jinsia zote na dini zot sibagui. Walio tayari wanitumie sms private
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wasiolewe au kufahamu kuna gari pale Mlimani City inakuwa kwenye parking muda wote. Aina ya noah ni yenye number za usajili T367FG (cheki walivyotoa macho wakaitafute). Huwa inatumika kama...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Mke wangu anapenda sana siasa kiasi kwamba anataka kuingia kwenye siasa ila bado tunawatoto wadogo sana nimemwambia asubiri kidogo! Naomba uzoefu kwa wakongwe wa siasa changamoto ya kuoa mke...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke kwa ajili mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi na awe yuko huru,umri asizidi miaka 35.Awe ni mtanzania anayeishi au yuko tayari kuishi Dar.Awe mkristo hai anayemcha Mungu.Maombi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Am looking for a life long partner aged 28-38 am 41, she shouldcome from or be from one of the following tribes Singida, Maasai, Meru, send me a private mesage.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni baba wa familia ya mke mmoja na mtoto mmoja ila kuna tatizo katika nyumba yetu, hasa upande wa mama, huwa akisema kitu endapo nitakipinga ataongea wee na kunilaumu kuwa...
1 Reactions
109 Replies
11K Views
Ni jambo la kawaida kumkuta mtoto wa kike akiwa anamiliki "pichu" 15-30 za rangi tofauti tofauti. Na kwa kawaida, mwanamke huwa anabadili "pichu" mara mbili (2) au mara tatu (3) kwa siku. Kama...
0 Reactions
146 Replies
57K Views
Utakuta kila kwenye mazungumzo ya simu na mpenzi wako anakuuliza maswali yale yale mazungumzo yale yale mpangilio ule ule mpaka unakereka na kupata ukurivu na uchoshi (boredom and tiresome) maneno...
4 Reactions
97 Replies
16K Views
Wadau nimepitia huko na huku ndani ya JF nikakutana na hili. Bado naliwaza mida hii. Hivi ni kweli msichana hawezi msahau aliyemtoa Bikira na kila wakikutana ni rahisi kucheza mechi ya Hisani ya...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Mwanadada mmoja mrembo, jana ametweet kuwa swala la wanaume kunuka midomo (Halitosis) ni noma sana na ni kikwazo kwa mahusiano mengi kuwa endelevu (tweet attached). Tweet hiyo ilizua patashika la...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, Tatizo lililonifikisha hapa jamvini ni kisa cha kuwapenda mabinti wawili tofauti katika mahusiano wote nimedumu nao takribani miaka 3, wao hawajuani kwani niko makini sana na kila...
2 Reactions
127 Replies
14K Views
Mara ya mwisho nakumbuka nimemtoa Wifi yenu Out.Tuligawana Majukumu. Kama mimi talipa nauli basi yeye anunue chakula. Nashukuru alikuwa muelewa akafanya hivyo. Hapo mwingine si angegharamikia...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa umri miaka 18_37 sina ubaguzi wa rangi wala kabila ila awe mrefu kiasi.napatikana kwa no.0752590897.kama aupo tayari please tusipotezeane muda.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni Kijana na mwajiriwa katika kampuni ya Logistics na nilikua katika position kubwa sana katika hiyo kampnuni kutokana na wezo wang wa kufanya kazi na kua flexible katika kuhandle sector zote...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mama lishe wengi ndio mkombozi wa watu wengi katika suala zima la madikodiko hali inayopelekea vijana wengi na watu wazima kuangukia katiki penzi lao sina hakika sana kama sababu huwa kupata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom