Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

natafuta rafiki wa kike, asizidi miaka 27 asipungue miaka 23, awe mkristo mwenye hofu ya Mungu ndani yake, itapendeza kama atakuwa mikoa ya DSM, pwani au Moro, awe na mtizamo chanya wa kimaisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Guys, Hola! Nimekuwa nikijua sigara sasa ni mwaka wa saba , mara ya kwanza nilikuwa navuta kwa kujifurahisha (smoking for fun),lakini sasa nimebobea kabisa. Nilijiunga na chuo kikuu cha Dar Es...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Kunywa Mtori kwanza nyama zipo chini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wakuu Mie jinsia ni ME, Nimedumu na mpnz wangu ss mwaka wa tatu, tuliahidiana mwaka juz tulipokua tunaenda vyuoni kwamba tukimalza tutaoana Yeye kwa sasa kaajiliwa bt mm nimedisco, ila...
0 Reactions
82 Replies
9K Views
Nimeitoa kwa dada Irene, huyu ni kama kungwi au mshauri wa ndoa, hii mada inaweza kutubadilisha mioyo na tukawa wenye huruma hasa kwa sisi wanawake. Kwanza kabisa napenda nikushukuru sana kwa...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Wana MMU kama wazee wamekuwa hivi je wajukuu na vijana itakuwaje...Kuna mzee mmoja hapa mtaani kwetu ni mtu hatari sana! Aliambiwa achague kati ya Mungu na demu akachagua demu.Akaambiwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Lazima tukiri kuwa ndoa ama mahusiano mengi yana migogoro, lakini hekima inayotokana na umri wa wanandoa/wanamahusiano pamoja na watoto Mungu amewajalia huwafanya wanandoa kuishi pamoja kwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Katika maisha yangu nimelishuhudia sana. Wake wa uzeeni na haswa panapokuwa na utofauti mkubwa wa umri, huwapelekesha sana waume zao. Wakati huo, mwanaume asipokuwa makini, ataharibikiwa na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wana MMU, Hii imetokea ni kweli wanawake tujiongeze hasa pale mnaposhauriwa na rafiki zenu may be inaweza kuwa applied kwa wanaume pia tujifunze kuevaluate kila kitu kabla ya kufika...
4 Reactions
81 Replies
14K Views
Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Habari za leo tena. Huu ni mrejesho wa tukio la jana kati yangu na mwenza wangu! Kwa baadhi mtakumbuka ile thread niliyoileta hapa MMU. Pamoja na yote sijaamini macho yangu nafikiri ni ndoto...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamaa ana rafiki yake mzungu anatokea Marekani.Sasa wamemtembelea Tanzania kama wiki mbili sasa.Tatizo huyo rafiki yake ndugu yetu anamjengea mazingira magumu sana jamaa yetu. Ni kama anataka...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wasalaam wakuu, Ingawa bado nauguza majeraha ndani ya moyo wangu kwa kumuandika mtu ambaye hana time na mimi. Nimeamua kumtumia atoto huu wimbo wa Toni Braxton UNBREAK MY HEART ajue nilichokuwa...
1 Reactions
107 Replies
10K Views
Naelekea wiki ya 3 tangu kujiunga nami Nina mkasa wangu naomba niwaeleze Kuna huyu binti ambae ni secretary Wa kampuni flani hivi ipo ppf tower building, ambapo mimi huenda kikazi kwa kuagizwa na...
50 Reactions
349 Replies
37K Views
Ninayoyaandika hapa sio kwamba nimeota au kuoteshwa, au sio kwamba nina ujuzi sana kwa mambo ya kiroho. Ni baada ya kuongea na watu wa haiba mablimbali, kusoma yaliyoandikwa sehemu tofauti, na...
1 Reactions
28 Replies
11K Views
Naelewa kwamba kuna rushwa ya ngono na hilo halina mjadala. Rushwa na Ufisadi ni Kulwa na Doto, sasa nauliza hivi hakuna ufisadi wa Mapenzi? Nafahamu kwamba 'kiroho' ufisadi wa mapenzi upo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Penda unapopendwa, usipopendwa stress zinatosha. >> Mtu asiyekupenda atakupeleka anavyotaka na wewe utafuata kile anachokitaka Hata bila ya wewe kukipenda! kulazwa kwenye gari na mwenzi wako...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi Wanadai Mke Mwenye Ajira Anakiburi Mana Anaringia Kazi Yake.Wanadai Mama Wa Nyumbani(goalkeeper)ana Muda Mwingi Wa Kuhudumia Mumewe Na Kulea Watoto.Je Nani Bora Kati Ya Hawa Anafaa Kua Mke...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mkewe alisema anauza mkaa. Mumewe anasema wanashindia mihogo.Ni couple ngapi za wauza mkaa wanaoshindia mihogo huenda South Africa kwa mapumziko? Ni familia ngapi za wauza mkaa na washindia...
14 Reactions
50 Replies
7K Views
Wapenzi wawili, mwanamke na mwanaume baada ya kuishi maisha ya dhiki na taabu kwa muda mrefu waliona suluhisho ni kujiua (suicide). Basi wakakubaliana waende kwenye jengo refu la ghorofa halafu...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…