Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

prince22

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Posts
188
Reaction score
217
natafuta rafiki wa kike, asizidi miaka 27 asipungue miaka 23, awe mkristo mwenye hofu ya Mungu ndani yake, itapendeza kama atakuwa mikoa ya DSM, pwani au Moro, awe na mtizamo chanya wa kimaisha na mawazo ya kujenga...
awe tayari kuanza urafiki na ikimpendeza Mungu atakuwa mwenzi wangu wa Maisha...
ni kama upo interested ni pm tutajuana kwa undani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom