Wachumba (ke) wanatabia ya kuforce ndoa mara twende kwetu kwanza, mara nilipie mahali kwanza' mara pete kwanza mpenzi. Baada ya muda unakuta jamaa kaoa na mara nyingi unakuta mwanaume hata...
hivi kwamfano umepewa ujumbe umfikishie rafiki yako unashindwaje kumfata pembeni ukamwambia mpaka ukamwambie kwenye watu wengi kila mtu ajue mambo yake?kuna mtu ameniudhi sana leo kaagizwa aje...
Rangi ni ulevi mwingine unaodatisha watu wengine wanapenda wanawake weupe,wengine weusi n.k.Hata unapomnunulia mpenzi wako nguo ni muhimu kutambua rangi anazopenda.Mie napenda rangi ya njano sana...
Ni akheri unapoenda maaneo special ya wanaoujiuza,maana utachukua tahadhari za ulinzi na usalama ili upunguze/uepushe hatari.Kuliko huku mitaani wapo kibao,kwa kumtazama tu utajisifu kuwa...
Natumaini wote mupo poa humu ndani,hivi majuzi kuna ndugu yangu mmoja kanitaka ushauri,kuwa ana rafiki yake wa kike ambaye yeye mme anampenda sana ila huyu bibie haeleweki,hasa ktk kuwa wazi kama...
Habari,
Natafuta mwanamke wa kuoa mwakani,elimu yangu ni shahada ya biashara (uhasibu),naishi Dar umri wangu ni miaka 31.nimtakae awe na miaka 25-33,awe mweupe,asiwe na mtoto,elim shahada,mwenye...
Habari zenu wana MMU,
Ni siku nyingi sana sijaposti kitu hapa jamvini,
Nadhani majukumu yamekuwa mengi sana. Sasa twende kwenye lililonileta hapa, nina rafiki yangu wa karibu sana, wazungu...
Shikamooni wadau,
Mi kijana wenu nahitaji mwanamke ambaye atakua mjasiriamali,mchakarikaji kama mimi na awe mzuri na mcheshi na asizidi 30, mimi ni mwanafunzi wa Chuo pia Mjasiriamali mdogo...
Salama wakuu
Rafiki huyu nilichakarika sana wakati wa shuhuri ya ndoa yake! Nilijitolea sana kwa sababu tumesaidiana mengi, kujulikana kwangu kwa jamii ninayo ishi nayo kulirahisisha mimi...
Hello everyone.
Few months ago nilijitokeza hapa nikitafuta mchumba mwenye sifa nilizozitaja hapo lakn walijitokeza watu ambao waliniletea utani mwingi na hatimaye nilikata tamaa lakin kwa sasa...
Hellows,
Jana nikasikia kitu that made me wonder kdogo abt a certain relationship (ikanibidi niite the so-called)..sasa jamaa kafuatilia kabinti ka watu hadi kakapigika sound. They barely meet...
Habari wanajf? Wazima wote,
Mimi ni mdada nimeolewa na nina mtoto mmoja tatizo sahivi nina ujauzito mwingine na mume wangu ananidharau sana.
Kwanza mimba inanisumbua sana maana ni changa yani...
alionyesha mapenzi mwanzoni tu,alipozaa kahamishia mapenzi kwa mtoto ake,kwa mwezi ananipa game mara mbili tena kwa kulazimisha,maji ya kuoga chakula vyote ananipa house girl,akirudi kazini yeye...
Habari zenu wanaJF,
Kwakweli nimewamis sana! Ila tuko pamoja!
Kwa bahati mbaya au nzuri mimi ndiye mtoto wa kiume pekee nikiwa mtoto wa tatu kati ya watoto wanne, wenzangu wote ni wa kike...
Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa marehemu rafiki yangu kwa mwaka wa tatu sasa tangu mume wa huyo dada afariki. Familia zetu ziko karibu sana nami nina mke na watoto wawili na huyu...
Habari wanaJf,
Je, ni kweli wanawake wengi wanapenda rough sex kwa maana kwamba ukiingia kwenye geme ni ku do ile mbaya kwa kasi na kwa nguvu zako zote?
Siyo ile ya kufanya mapenzi kisharobalo...
Heshima kwenu wanajamvi,
Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa...