Wachumba (ke) wana tabia ya kulazimisha ndoa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Wachumba (ke) wanatabia ya kuforce ndoa mara twende kwetu kwanza, mara nilipie mahali kwanza' mara pete kwanza mpenzi. Baada ya muda unakuta jamaa kaoa na mara nyingi unakuta mwanaume hata hajajipanga ila lazima aoe tu. hii imewatokea wadau wengi sana ndugu zangu au jamaa tu .

Kwako wewe mwanaume mwenzangu wa mmu ulilazimishwa kijanja au ulipenda kutoka moyoni tupe ushuhuda hapa huyu aliamua kujioa mwenyewe baada ya kushindwa kushinikiza ndoa
 

Attachments

  • 1442042720852.jpg
    1442042720852.jpg
    22.3 KB · Views: 1,054
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 ngoja nionyeshe meno kabla hayaja toka
 
Sasa wewe unapenda kuendelea kula vya haramu tuu? unapenda kula visivyo halali., unapenda uzini hata lini?
 
Baadhi ya wanawake huwa wanaficha sana makucha yao wawapo nje ya ndoa na kuficha hayo makucha kuna-cost na expiring date so anakulazimisha mfunge ndoa mapema kabla ya mda kuficha hayo makucha maana ukigundua ukweli hutaoa tena...Ila mkishakuwa kwenye ndoa tena hizi zinazosema mpaka kifo tu ndo kitakachowatenganisha...Imekula kwako hapo.
 
watakulazmsha pindi wanapoona muelekeo wako ukoje? huwez kumchezea hv hv lazma akung'ang'anie....
 
Utasikia npo tayar hata kulala chini ili mradi tuoane. Baada ya hapo sasa mwanaume utaujua mji vizur, tuoe jamani kujipanga sio lazima ila uwezo wa kulala mahali pazuri, kula vizur, na pesa ya matibabu uwe na uhakika wa mahali pa kupatia vijipesa. Mwenzio atakuambia hata kula mara moja kwa siku yupo tayari, lakini baadae atakuambia nmechoka maisha haya bila kujali km hali ya maisha bado haijawa nzur kwenu!. Ni hayo tu kwa mm.
 
Mabinti miaka ya 25-30's huwa wanakuwa desperate sana kuolewa.
wanakwambia umri unaenda;au mara wazazi wananiuliza sana;au wenzangu wote tayari.
Mwishowe anaangukia kwa jitu lolote tu maadamu kaolewa.
How pathetic!!
 
Mabinti miaka ya 25-30's huwa wanakuwa desperate sana kuolewa.
wanakwambia umri unaenda;au mara wazazi wananiuliza sana;au wenzangu wote tayari.
Mwishowe anaangukia kwa jitu lolote tu maadamu kaolewa.
How pathetic!!
na kujishikisha mimba fasta...hawajambo....
 
Back
Top Bottom