Natumaini wote mupo poa humu ndani,hivi majuzi kuna ndugu yangu mmoja kanitaka ushauri,kuwa ana rafiki yake wa kike ambaye yeye mme anampenda sana ila huyu bibie haeleweki,hasa ktk kuwa wazi kama anampenda kijana.
Mara ya mwsho majuzi bibie kamtembelea mkaka nyumbani kwake huyu ndugu yangu anasema dada tangu kaja hana story yupo serious kama kalazimishwa kuja.Basi dada alipoondoka hadi kesho yake ndo anapokea simu anamwambia mkaka anashindwa kumpenda.
Sasa huyu mdugu akakaa kimya wiki nzima hakumtafuta mdada.Then jana mdada anampigia huyu jamaa na kumwambia asione anamzingua ila kuna vitu kaviona h