Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hello i am Aisen by Name and i am a Man Natafuta rafiki wa kike waku chat nae na ku badilishana mawazo.ikiwa Dodoma ita kua poa zaidi Kama uta hitaji ni PM.
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Rafiki yangu anatafuta rafiki then awe mke.Awe yupo Arusha,miaka 23-25,umbo la kawaida,mweupe.Yeye ni mwalimu ana BA. Karibu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za mihangaiko wenzangu? Nina tatizo na mpenzi wangu,tumekua na mahusiano ya kimapenzi takribani miaka mitano sasa,mapenzi yetu mwanzo yalikua mazuri sana kiasi kwamba hakuna aliyetegemea...
0 Reactions
79 Replies
11K Views
Habari mimi sina mengi, ila nahitaji marafiki wa kuchat nao whatsapp. Yoyote yule ataependa.0768325632
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nina rafiki yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mkewe, mimi nimepata ushahidi wa baba yake halisi natamani kumwambia ila anatabia ya kumwambia kila kitu mkewe na mtoto anapokuwa anazidi fanana na...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
John aliingia chumbani kwa mama ambaye ndiyo tajiri yake bila kupiga hodi na ikawa hivi Mama: Wewe John mbona unaingia chumbani kwangu bila kupiga hodi??? John: Kwani kuna ubaya mama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau i hope mko poa Kesho namaliza kazi iliyonileta hapa Mwanza, na Thursday nitakua narudi Dar Wiki iliyopita nilileta uzi hapa unaosema Nimedhalilika sana, mke wa jamaa yangu kaniambia...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanaume wengi huelewa kuwa kuna umuhimu wa kumuandaa mwanamke kwa kumshika shika maungo yake ya mwili lakini wengi hupuuzia suala hili kwa kuwa wao hamasa yao ya mapenzi huamka na mwili husisimka...
16 Reactions
105 Replies
199K Views
Habarini, Kuna siku niliangalia kipindi cha jioni kinachoitwa jungu kuu, kwenye station ya ITV, kama sikosei bi chau ndo alikuwa kungwi Topic ilikuwa inahusu tabia ya wanaume kupiga wake zao...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mshikaji analalamika sana kwamba msichana wake a napenda hela sana, eti hela ya saluni tu anataka shilingi elfu Sita (TSHS 6,000). Tumsadieje huyu jamaa kwenye haya mahusiano?
0 Reactions
117 Replies
10K Views
  • Closed
Nimatumaini yangu wote ni wazima jina langu ni Kelly nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kabla sijaenda kusoma mkoa mwingine ambao ni DSM nilimwambia naondoka lakini unabidili...
0 Reactions
134 Replies
21K Views
Natafuta rafiki wa kuchat wa kike, awe mwalimu au daktari. Karibu sana
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kizungumkuti #01 Mtunzi..Junior Stories Simu ilipigwa kwenda makao makuu ya jeshi la polisi kitengo cha Criminal investgator lakini iliita mpaka ikakata bila kupokelewa, mpigaji hakutaka kukata...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamii Nimekuwa na kijana mmoja tumekuwa na mauhusiano kwa mwaka mmoja ila tukaachana kutokana na mwenzangu kuonekana anampenda ex wake zaid yangu.Wakati tupo katika mahusiano...
0 Reactions
133 Replies
10K Views
Habari zenu wana Jf, A friend of a friend amepatwa na hili nikaona sio mbaya kuja kushare nanyi. Alikua anaitaji uhamisho wa kikazi ndani ya wilaya kwaio akaandika maombi na akafanya process...
4 Reactions
156 Replies
22K Views
Niko katika hali ya kusikitisha kila siku mimi hulia machozi maana sina hata mtu wa kunisalimia hata kwa mbali nahisi kufa kufa hata sili maana ninaowahitaji nafikiri hawanihitaji hata kidogo...
1 Reactions
121 Replies
11K Views
Wanajamii naomba ushauri kwa hili M.m nin muajiriwa ila kipato changu hakitoshi na majukumu niliyo nayo Mke wangu kwao wako safi ila hataki kunisaidia ananiambia sio jukumu langu aisee huwa napata...
0 Reactions
95 Replies
10K Views
Wakuu, Hata salamu sitoi kwa huzuni nilokua nayo, Hivi kweli wazazi na watoto wadogo wa kike wamefkia hatua hii,! Iko hivi wakuu leo katka kutafta pahala walau nikapumzike nipunguze stress za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanini ujione usiyefaa na uliyejaa mabaya tu? Badala ya kutazama yale yaliyo mabaya na yakushindwa katika historia yako, tazama mafanikio. Kila binadamu ana kitu chema ndani yake. Ukishajua vitu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ggggggggg
3 Reactions
27 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…