mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
Wakuu,
Naombeni mnijuze unawezaje kumgundua mwanamke ni mweupe naturally au anatumia mkorogo?
Naombeni mnijuze unawezaje kumgundua mwanamke ni mweupe naturally au anatumia mkorogo?
Unapenda mwanamke mweupe
wakuu naombeni mnijuze unawezaje kumgundua mwanamke ni mweupe naturally au anatumia mkorogo
Natural hana vidoti, mkorogo kaaja vidoti. Natural ni mweupe kote hadi nanilii, mkorogo ni mweusi kwenye kipepsi, magoti maungia ya vidole na sehemu za kucha inapoingilia. Natural ana harafu ya ngozi ya kawaida mkorogo hunuka vibaya. Natural hafinyi macho juani mkorogo hawezi kuangalia juani. Natural anaweza tembea juani bila kujifunika mkorogo hawezi kwa sababu hubadilika kuwa kama jini. Natural anajiamini mkorogo hajiamini. Natural ni mkavu mkorogo hutokwa na jasho ovyo. Natural milele yuko hivyo mkorogo akikaa mwezi tu bila mkorogo hurudi kuwa mweusi mwenye rangi mbili.