shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
habari wadau.
tushauriane kuhusu multitasking maana watanzania wengi hili ni janga.
kisa mtu anajenga.. anashindwa kunywa hata juice anaona anasa. kuchangia michango ya kijamii ishu, kila kitu analalamika tu.
mwingine nae kisa yupo jikoni anapika hata kupokea simu hawezi anatoa sabab alikuwa busy jikoni.
mwingine nae kisa ana save anunua gari basi hata akiumwa kujinunulia panado anaona itaharib mipango.
jamani hivi binadamu ndio tumeumbwa hivyo??
hivi hatuwez.kujenga huku watoto wanakula vizuri, michango ya kijamii tunachangia, maisha ya kawaida bila kubadilika?? hivi hiyo haiwezekani??