Hebu fikiria dereva anayeendesha gari, pale kwenye dashboard kuna mishale mitatu muhimu ambayo dereva lazima aviangalie tena kwa umakini anapoendesha gari. Wa kwanza unaonyesha speed, wa pili rotation per meter na mwingine heating system. Mishale yote, mwishoni kuna sehemu ina alama nyekundu, na mshale hautakiwi kabisa ufike kwenye red, na ukifika hapo ni hatari na kifo kinakusogelea.
Walio kwenye ndoa nao kuna ishara ambazo ukiona zinatokea kwenye ndoa yako basi ujue umefikia kwenye red/danger zone na wakati wowote ndoa yako inakuwa ndoano. Nitataja baadhi ya mambo, mengine unaweza kuongeza, maana ni mtazamo wangu.
Walahi, kama ndo hivi ukisikia ndoa imepata ajali wala usilaumu maana ni wewe dereva wa ndoa yako umeamua mwenyewe kuingia korongoni. Kitakachotokea usilaumu.
Walio kwenye ndoa nao kuna ishara ambazo ukiona zinatokea kwenye ndoa yako basi ujue umefikia kwenye red/danger zone na wakati wowote ndoa yako inakuwa ndoano. Nitataja baadhi ya mambo, mengine unaweza kuongeza, maana ni mtazamo wangu.
- Wakati wa uchumba na honey moon, mumeo ulikuwa unamjali, hata akikohoa tu kidogo ushakuja na kumbembeleza, lakini siki hizi hata hujishughulishi kumjulia hali hakuna taking care.
- Mawasiliano ilikuwa kila mara, maneno matamu kama asali, sasa hivi akiuliza kiatu chake kilipo unajibu, "kwani mimi ndo navaa?"
- Ulikuwa unampashia maji ya kuoga asubuhi na jioni, siku hizi hiyo umeshadelete. Vyovyote vile aoge ya baridi au ya moto hujui. Hata hujui kama kuna sabuni ndani, wakati mwingine anaingia bafuni tayari kwa kuoga ndo unagundua sabuni imeisha, fasta unaanza kumtuma house girl akanunue.
- Kwenye mechi ulikuwa unamfanyia kila namna ili mumeo afurahi, siku hizi ukirudi unajilalia tuu, akikugusa unasema "niache nimechoka"
- Kabla hamjapata watoto ulikuwa unamwambia kila mara "I love you", leo hii hayo maneno unawaambia watoto tuu. Ukiona mumeo kakuandikia "I love you" unashtuka.
- Akitoka kazini ulikuwa unampokea, mkifika chumbani unamvua shati na viatu, siku hizi vyote hivyo havipi, sana sana anapokelewa na house girl.
- Wakati anakuoa ulikuwa portable kilo 52, leo una kilo 85, akikuambia fanya mazoezi punguza unene hutaki, unaona unene sifa.
- Kwa sababu ya namba 7 hapo juu, kunako mechi, style zingine huziwezi isipokuwa kifo cha mende kwa sababu ya unene na uzito.
- Kwa sababu ya hoja namba 7 hapo juu, akikuambia tupunguze kula nyama na vyakula vya mafuta wewe mbishi, kila siku ndo unaona uongeze bajet ya vitu hivyo. Ishara kuwa mume leo kapata hela akifika nyumbani utamkuta kafungasha matunda na mboga mboga, ila wewe tutakujua tuu kwa maana lazima utakuwa umefungasha nyama steki, utumbo, na kidari.
- Program na ratiba za nyumbani zote hujui illa house girl ndo anajua.
- Zamaniulikuwa msafi sana, ila siku hizi hata kupiga mswaki usiku kabla ya kulala hutaki, hata unaweza kulala bila kuoga jioni, eti unasingizia baridi. Wakati wa mechi papuchi inanuka inabidi ajikaze tuu ili ionekane mmefanya tendo la ndoa japo hamjafanya.
- Ulipokuwa unaolewa hata huna kazi ulikuwa unamuandalia mumeo nguo za kuvaa, ila sasa amekutafutia kazi, na wewe asubuhi unajiandalia zako tu, unamwacha mumeo kitandani apige nguo pasi, apige kiatu rangi na mengineyo (house girl ndo anamsaidia)
- Zamani ulikuwa unamuahidi kuwa tuepuke marafiki wabaya watatuharibia ndoa, lakini siku hizi wewe ndo uko bize na mashosti zako wala huna time ya kuspend na mumeo.
- MENGINE ONGEZENI.
Walahi, kama ndo hivi ukisikia ndoa imepata ajali wala usilaumu maana ni wewe dereva wa ndoa yako umeamua mwenyewe kuingia korongoni. Kitakachotokea usilaumu.