Ila Wanawake hili huwa linawaumizaga sana huwa mnajikaza tu

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,981
12,996
Unakuta kipindi hicho umefwafwanzika life halisomi na kila mwanamke unaemtongoza anakutolea nje "utasikia nataka bwana wa maana huna hadhi ya kuwa na mimi"

Sasa maisha yamekunyookea umejipata mwili umechanua

Unakuja kukutana nae anaweza hata akakukimbia

Mwanamke heshimu juhudi za mwanaume hasa ambae bado yuko kwenye umri wa kujitafuta..

Huku mitaani wengi mnajuta mnatamani kupewa hata "mambo" lakini ndo unajikuta ushachelewa.

Ila kiukweli huwa mnajikaza tu ...
 
Unakuta kipindi hicho umefwafwanzika life halisomi na kila mwanamke unaemtongoza anakutolea nje "utasikia nataka bwana wa maana huna hadhi ya kuwa na mimi"

Sasa maisha yamekunyookea umejipata mwili umechanua

Unakuja kukutana nae ...anaweza hata akakukimbia

Ndivyo walivyokwambia?
 
Hahahaha
Signature yako hapo chini ndo jibu lako
 
Unakuta kipindi hicho umefwafwanzika life halisomi na kila mwanamke unaemtongoza anakutolea nje "utasikia nataka bwana wa maana huna hadhi ya kuwa na mimi"

Sasa maisha yamekunyookea umejipata mwili umechanua

Unakuja kukutana nae ...anaweza hata akakukimbia

Mwanamke heshimu juhudi za mwanaume hasa ambae bado yuko kwenye umri wa kujitafuta..

Huku mitaani wengi mnajuta mnatamani kupewa hata "mambo" lakini ndo unajikuta ushachelewa.

Ila kiukweli huwa mnajikaza tu ...
Bado mnashindana na wanawake?
 
Back
Top Bottom