Habarini!
Tangu kuzaliwa kwetu! kwenye ugonjwa, raha, shida, masomo, vyakula, nguo mpaka sasa aliye / anaetushughulikia ni mama!
Reason;
baba alitukana tangu wadogo sana mbele ya mahakama...
Unakuta mwanamke una boyfriend/mume ukahisi anatembea(anacheat) na mwanamke fulani,Unatoka na kiherehere chako kwenda kumfanyia fujo mdada watu,et ooh koma bibi wee kutembea na mpenzi wangu,Hivi...
Heshima kwenu wakuu?
Imekuwa ni tabia ya walio wengi kuanza kutamani wake/waume za watu,mara tu msiba unapotokea,wengine huanza kusema vibaya watu kuwa je ataweza kuvumilia bila ya kuwa na...
Wandugu,
Kama swali linavyojieleza hapo, unaombaje namba! maana hata ukijiongelesha ww mwenyewe hujisikii...ule mziki wa Maisha Club ni habari ingine.
Mimi katika kutapatapa huko, nikaijiwa na...
Habari za siku ndugu zangu popote mlipo.
Nianze na historia yangu kidogo.Kipindi flani nilipokua nasoma chuo huko mwanza wilaya flani nilikua na tabia ya kutotaka mahusiano na wanafunzi wenzangu...
Mna amani katika mahusiano yenu? neno moja katika jumapili hii kwa ajili ya Padri mtarajiwa please. muwe na amani. Nawapenda nyote katika yote. urafiki mwema
Wanawake wengi wanapenda bad boys.Lamar baada yakuwa na hali mbaya baada ya madawa ya kullevya Chloe yupo masaa 24 haganduki huko hospitali.Courtney baby daddy wake scott hoi madawa Rehab.
Hivi...
Nalileta hili ili wanaume mjitathimini.
Nilikuwa sehemu fulani kijijini mkoa wa pwani, wakati narudi jioni hii njiani alipanda baba mmoja alikuwa kanywa pombe ila siamini kama kalewa, ambae kwa...
Kwa nini mabinti wazuri hawako wengi walioajiriwa serikalini tofauti na taaasisi binafsi, au hawana sifa za kuajiriwa serikalini?
Nenda karibu ofisi zote za umma wanawake wake ni wa kawaida...
wadau mi nimeoa juzi kati ila kinacho nipa shida wife anapenda kusikiliza taarabu, afu ana mimba yangu, tukikosana anatumia yale maneno ya nyimbo za taarabu kama kunisuta vile. Nitupe izo CD na...
Nimepata transfer ya kikazi mkoani Mwanza mi kwa asili yangu ni mgumu sana kutengeneza marafiki sababu ni mkimya hivyo kwa wenyeji hapa Mwanza jinsia zote ukiwa kijana wa -32 ni vizur zaidi...
Huyu mwanamke nilisoma naye shule ya msingi ila alikuwa nyuma yangu. Alinifahamu vizuri kwani nilikuwa vizuri darasani ila mimi sikuzoeana naye. Nilikutana naye miaka mitatu iliyopita baada ya...