Mambo makuu 3, mpenzi wako akupende (girlfriend)

Mambo makuu 3, mpenzi wako akupende (girlfriend)

akupende au akuchune
we unaona unapendwa kumbe ndiye unaechunwa we unaona unapandwa kumbe unavunwa
 
Mara zote wale wenye uwezo mdogo wa kugegeda ndo watoa hela! Penzi hawawezi kulilinda bila hela. Zikiisha tu umeachwa!!
 
Mi nawaona mabwege sana mnaopewa maku kwa kodi,tatizo hamna utashi ama udomo zege tu! Mnaboa sana...
 
Mi nawaona mabwege sana mnaopewa maku kwa kodi,tatizo hamna utashi ama udomo zege tu! Mnaboa sana...kaka ww type zako itakuwa ma homemaids, wanawake warembo mjini shemeji zako hamna namna..
 
Mapenzi bila hela hayaendi, hamuwezi kula I love you, kuspend muda mahali kwa kulipia kwa mabusu. Hela ina nafasi yake kubwa katika uhusiano.
 
Unaweza kumpa hela na ukaachwa njia panda usije pa kuelekea wapi mapenzi hayatabiriki mkuu unatakiwa uwe mbunifu katika maisha yako ya mahusiano
 
Back
Top Bottom