Ulimkuta Wapi hadi ukamuoa?
wadau mi nimeoa juzi kati ila kinacho nipa shida wife anapenda kusikiliza taarabu, afu ana mimba yangu, tukikosana anatumia yale maneno ya nyimbo za taarabu kama kunisuta vile. Nitupe izo CD na Flash ama?
Watu wengine tatizo kidogo kakimbilia jf.Wanaume jamani eeeh mambo mengine ni kujishushia heshima, unless ni changamsha jukwaa....
Umeoa, mkeo anafanya kitu hupendi afu we hujui ufanyeje wataka wanajf wakuambie cha kufanya mmmh
Wanaume jamani eeeh mambo mengine ni kujishushia heshima, unless ni changamsha jukwaa....
Umeoa, mkeo anafanya kitu hupendi afu we hujui ufanyeje wataka wanajf wakuambie cha kufanya mmmh
wadau mi nimeoa juzi kati ila kinacho nipa shida wife anapenda kusikiliza taarabu, afu ana mimba yangu, tukikosana anatumia yale maneno ya nyimbo za taarabu kama kunisuta vile. Nitupe izo CD na Flash ama?
Huwezi kumwambia kuwa hupendi?
Namna hii ndiyo hufanya sisi wanaume kuonekana wa hovyo kwa sababu ya watu kama hawa, u can imagine na hili nalo mtu anashindwa kulitatua ndani kwake...