Chloe and cortney kardashian is it love or insecurity Vs Lamar and Scott

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Wanawake wengi wanapenda bad boys.Lamar baada yakuwa na hali mbaya baada ya madawa ya kullevya Chloe yupo masaa 24 haganduki huko hospitali.Courtney baby daddy wake scott hoi madawa Rehab.

Hivi wewe ungekuwa na mpenzi wa hivyo ungefanyaje? Mimi kwa kweli ningesepa.
 
Hata mie nisingekuwa na time tena ex hubby wa nini
Ila sijui ndio uzungu care nyiiiiingi
 
Hata mie nisingekuwa na time tena ex hubby wa nini
Ila sijui ndio uzungu care nyiiiiingi

Hata bongo kuna watu mwanaume amefanya umalaya wewe sasa Akipaka ukimwi wanauguza.mara amwogeshe mgonjwa Mara kumfutafuta majasho .Kwa kweli sina Muda wa ushenziushenzi.kwanza hiyo simu ningepigiwa eti kakutwa wapi..Huyo aliepiga simu angekoma.
 
Wanawake wengi wanapenda bad boys .Lamar baada yakuwa na Hali mbaya baada ya madawa ya kullevya Chloe yupo masaa 24 haganduki huko hospitali.Courtney baby daddy wake scott hoi madawa Rehab .Hivi wewe ungekuwa na mpenzi wa hivyo ungefanyaje?mimi kwa kweli ningesepa
Kourtney said she couldn't leave Scott when he was at a low point in his life. Even though she has broken up with him, she still gives him full support. She does all that because Scott is her babies' father. Hataki watoto wapoteze baba yao so vyovyote atamsaidia Scott.
Khloe mi naona ndo anatafuta matatizo. Lamar cheated on her lakini bado yupo tu! Mtu mwenyewe amekutwa in a brothel hata HIV anaweza akawa ameshapata mwishowe yamrudie Khloe.
 
Wanawake wengi wanapenda bad boys .Lamar baada yakuwa na Hali mbaya baada ya madawa ya kullevya Chloe yupo masaa 24 haganduki huko hospitali.Courtney baby daddy wake scott hoi madawa Rehab .Hivi wewe ungekuwa na mpenzi wa hivyo ungefanyaje?mimi kwa kweli ningesepa

Kila mtu anakile anakipenda toka kwa mwanaume.

Wewe utasepa kwasababu sio type yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom