Nimegandwa na mke wa mtu! Nifanyeje?

usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
527
500
Huyu mwanamke nilisoma naye shule ya msingi ila alikuwa nyuma yangu. Alinifahamu vizuri kwani nilikuwa vizuri darasani ila mimi sikuzoeana naye. Nilikutana naye miaka mitatu iliyopita baada ya kuachana kwa miaka mingi. Yeye ameshaolewa na sasa hivi anafanya biashara na mumewe. Tulibadilishana mawasiliano kama watu tunaofahamiana lakini kilichotokea mpaka leo kinanisumbua. Alianza kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu mara nyingi. Kuna siku alikuja kwangu bila taarifa. Nilipotoka kwenda kuoga nikarudi na kumkuta chumbani kwangu uchi. Kama binadamu niliingiwa na kuzidiwa na tamaa nikazini naye. Toka hapo amekuwa akiniambia anataka azae na mimi ili apate mtoto atakayekuwa na akili kama nilivyokuwa mimi. Niliamua kukata mawasiliano naye na kuhama pale nilipopanga mwanzo bila mafanikio.Nikimblock anatafuta laini nyingine na kunipigia. Nimebadili line mara tatu bila mafanikio. Anadai kwa nini namtesa namna hiyo? Ushauri wenu ndugu zangu!
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,771
2,000
Kusanya ushahidi mwambie utamwambia mumewe! Atakuwaje mdogo.
Wanaume wenyewe wa kichaga hawa.... akiletewa ushahidi, halafu mwanamke akigeuza kibao kwamba yeye ndo alikuwa anamtaka, ATATAFUTA BASTOLA ILIPO

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
1,750
...my advice is 'ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha'
...keep on doing buddy...ila what goes up must come down...
usiache kurudi hapa tena
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,927
2,000
Wewe nawe unataka kuliwa kichuri bila kinga sasa.KIMBIA SIO.BAHATI HIYOO NI MAJANGA.
 
LILENDI

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
1,400
0
kabang inakuhusu wewe!
wewe kabla ya kuja huku JF, ulikuwa unafikiria nini? don't tell me that you weren't thinking anything! kuzini unajikia raha yakikufika ya shinga ma.vi yanagonga pichu na kurudi ndani!

Anza kuvisoma vitabu vya dini ili umrudie Mungu wako
 
Chujio

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
804
1,000
Changanya miguu yako haraka sana! ...mke wa mtu sumu, hivi hamsikiagi?!
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
910
500
hapo umeingia choo cha kike.hebu jiulize kakosa nin kwa mumewe mpaka akufate.usije laumiwa baadae kwamba wewe ndo chanzo cha kuvunja ndoa za watu...mpe makavu laivu kwamba humtaki...
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,397
2,000
Huyu mwanamke nilisoma naye shule ya msingi ila alikuwa nyuma yangu. Alinifahamu vizuri kwani nilikuwa vizuri darasani ila mimi sikuzoeana naye. Nilikutana naye miaka mitatu iliyopita baada ya kuachana kwa miaka mingi. Yeye ameshaolewa na sasa hivi anafanya biashara na mumewe. Tulibadilishana mawasiliano kama watu tunaofahamiana lakini kilichotokea mpaka leo kinanisumbua. Alianza kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu mara nyingi. Kuna siku alikuja kwangu bila taarifa. Nilipotoka kwenda kuoga nikarudi na kumkuta chumbani kwangu uchi. Kama binadamu niliingiwa na kuzidiwa na tamaa nikazini naye. Toka hapo amekuwa akiniambia anataka azae na mimi ili apate mtoto atakayekuwa na akili kama nilivyokuwa mimi. Niliamua kukata mawasiliano naye na kuhama pale nilipopanga mwanzo bila mafanikio.Nikimblock anatafuta laini nyingine na kunipigia. Nimebadili line mara tatu bila mafanikio. Anadai kwa nini namtesa namna hiyo? Ushauri wenu ndugu zangu!

nenda katubu dhambi na umrudie Muumba wako
 
usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
527
500
...my advice is 'ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha'
...keep on doing buddy...ila what goes up must come down...
usiache kurudi hapa tena

Mkuu niligegeda mara moja tu nayo ilikuwa unintended. Toka hapo nimekuwa nikimkimbia mpaka sasa muda mwingi nazima simu yangu ili kumkwepa asinipate hewani
 
MKILINDI

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
386
250
Umesema amekuganda...jigandue mwenyewe kabla mumewe hajaja kukugandua maana ni hatareeeeeee utang"olewa meno kwa praizi..ukimuacha asaiv baadae atakuelewa ila ukishindwa..., baadae wakakushika wanaume hata ukisema aliniganda hakuna atakayekuelewa kwa sasa wala baadae yake
 
Akagando

JF-Expert Member
May 24, 2012
534
250
Ulitaka kujaribu au kumjua dada wa watu kama mjuzi kitandani nini,ushauri wangu tubu umrudie Mungu wako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom