Mke anahitajika

Mke anahitajika

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,047
Reaction score
1,339
Nina miaka 29 natafuta mke awe mcha mungu,awe anajitambua na mkristu, aliye kanda ya ziwa ntampa kipa umbele zaidi. awe na umri kuanzia miaka 20-27, elimu kuanzia form four.

Alie tayari atume private messege.
 
nina miaka 29 natafuta mke awe mcha mungu,awe anajitambua na mkristu, aliye kanda ya ziwa ntampa kipa umbele zaidi. awe na umri kuanzia miaka 20-27, elimu kuanzia form four. Alie tayari atume private messege.

ingia chumbani kwako kisha sali na Mungu atakuonesha mchumba mcha Mungu. utampata popote siyo lazima iwe kanda ya ziwa
 
nina miaka 29 natafuta mke awe mcha mungu,awe anajitambua na mkristu, aliye kanda ya ziwa ntampa kipa umbele zaidi. awe na umri kuanzia miaka 20-27, elimu kuanzia form four. Alie tayari atume private messege.
Mtangulize mwenyezi mungu kwenye kila jambo lako.
 
nina miaka 29 natafuta mke awe mcha mungu,awe anajitambua na mkristu, aliye kanda ya ziwa ntampa kipa umbele zaidi. awe na umri kuanzia miaka 20-27, elimu kuanzia form four. Alie tayari atume private messege.

Katafute mwanamke yeyote aliyeshindwa ubunge kutoka
ugambani , anaweza kuwa faraja tosha kwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom