Yupi rahisi kumsamehe akikuudhi?

Yupi rahisi kumsamehe akikuudhi?

Mnyanyembe

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
6
Reaction score
2
Wadau girl wako akicheat au akikuudhi ni yupi rahisi kumsamehe na kurudiana nae. Unaempenda kwa dhati au yule wa geresha
 
Msaada tutani jamani mana demu kukicha nafuma message za wanaume lakini siwezi kumuacha ni kuwa nampenda sana au nimekuwa zuzu
 
Maelezo yako ni kama umepanic saaana. Yeyote atakayeshinda tukubali tu kwa maslahi ya nchi ingawa tunahamu sana Lowasa aingie awaonyeshe hao wanaohisi cc ni mali yao..
 
pole sana chukua uamuz mgumu tu apo tena endelea kuongea nae ila tafuta chombo kngne ukimnunia utaumia sana ucmnunie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom