MBOPOLI
Senior Member
- Aug 12, 2015
- 160
- 27
Mambo vipi hapo,
Ni hivi mimi ni fundi bomba maarufu hapa Singida sasa kuna wakati niliitwa na jamaa mmoja hivi nikamtengenezee bomba ilikuwa inamwaga maji hovyo. Sasa nilifanya ile kazi hadi jioni lakini sikuweza kufanikiwa kufix lile tatizo lilikuwa geni kwangu kidogo.
Sasa nikaona nipoteze siku nzima huku bila kulipwa hela sababu kazi haijakamilika aa wapi nikampiga sound akaniachia 20000 nikaondoka. Yeye alijua tatizo limeisha kumbe bado akagundua, kunipigia simu sipatikani kumbe hapo nafanya upelelezi kwa mafundi wenzangu jinsi ya kufix hilo tatizo, sikupatikana siku 3 ndipo akahisi nimemuingiza mjini.
Sasa leo nafungua simu yangu nakuta meseji anasema baki na hiyo hela na sitaki uje tena huku kutengeneza bomba. Na kwa taarifa yangu huyo demu wako nilishamgonga mara nyingi nikaona anazingua tu.
Nikareply meseji hiyo na mambo yakawa hivi;
Me: Aah wapi wewe hujawahi mgonga demu wangu na wala huna uwezo huo, kwanza ananikubali hawezi chepuka.
Yeye; Kwa hiyo unataka ushahidi?
Me; Ndio leta ushahidi hapo nikaanza kuwaza kama kweli itakuaje.
Yeye: Haya ukiwa unamgonga si huwa analia baby unaniua baby unaniua na makalio yake si kama kitunguu,chuchu zake si ndogo ndogo hivi,tukuyu
yake si iko hivi na hivi.
Yaani kwa kweli alitaja mambo yote kumuhusu demu wangu hapo nikaamini kweli jamaa kanichapia huyu.
Sasa munanishauri vipi hapo ndugu zangu watanzania wapenda mabadiliko bila kujali Magu au Ngoyai.