my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Kwa upande wangu naona kama salamu ni unafiki. Kwa sababu mtu anakuuliza mfano "Habari yako?" Lakini kichwani tayari anakua na jibu ambalo anajua atalisikia kutoka kwako, ambalo ni 'nzuri' au 'salama'.
Kama salamu ni kujuliana hali kwa nini watu tunakua na majibu yetu kichwani? Au kwanini hatusemi hali ambayo tupo wakati huo? Kutoleana salam ni unafikI kwasababu ukweli anaeuliza hataki kujua hali yako kutokea moyoni na anaeulizwa hataki kueleza hali yake aliokuwa nayo wakati huo.
Sisi binadam wanafiki sana ndiyo maana mi sisalimii mtu kwasabab najua utaniongopea tu na kabla cjakusalimu najua tayar hal yko ni nzur. salam aina maana.