Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,664
- 140,051
Hii habari ni ya kweli kabisa. Huyu mchuchu alipatwa na orgasm ya masaa matatu hadi ikabidi jamaa yake amkimbize ER.
Sasa cha kujiuliza, huyo jamaa yake alifanya mautundu gani hadi mdada akafikwa na hayo 'madhila'? Manake kuna wengine hata hawajui 'orgasm' ni nini.
Sasa cha kujiuliza, huyo jamaa yake alifanya mautundu gani hadi mdada akafikwa na hayo 'madhila'? Manake kuna wengine hata hawajui 'orgasm' ni nini.
Last edited by a moderator: