Ama kweli "NO LIFE WITHOUT A WIFE, BUT A WIFE CAN BE A KNIFE TO CUT OFF YOUR LIFE" huyu mwanamke pamoja na kusimamia show zote tangu high school, chuo na kurudi mtaani hana muelekeo, nikatumia...
Hamjambo wana JF. Mie pamoja na marafiki zangu tunatafuta jinsi tutakavyo vipata vitabu vya David G Mailu. Hamna hata anayeifahamu website yake jamani? Nilikisoma kitabu chake mwisho nilipokuwa...
Miaka michache iliyopita kuna binti nilikuwa nampenda sana.nikawa natamani tuzoeane ili nimtokee na nyumba yao ilikuwa karibu na njia ya kwenda kituoni Nilikuwa na mashati kadhaa lakini kuna shati...
Habari zenu jamani,
Napenda sana marafiki wa kuchart nao na kubadilishana mawazo ya maendeleo ili maisha yasonge.. walonizidi umri watanifaa zaidi, umri wang miaka 24
Karibuni
Wakuu nawasalim wote,
Takribani miezi miwili kasoro niliwaeleza kuhusu mwanamke wa ki Mexico alieletwa na kampuni yetu kwa mkataba maalum kuongoza idara niliyopo
Na nikawaeleza kuwa tumekua...
STORY:KINDERE
EPISODE 01
*******
"Sijui ni nini kinachonivutia kwako, sielewi. Nahisi kuchanganyikiwa kabisa na muda wote nakuwaza wewe tu". Maanu alinambia maneno haya akiwa amejilaza...
BY DAYAN MASINDE?
The bedroom is the epicenter of love, it sets the mood of the home and affects everything in the house and family including parenting. The bedroom should be:
1. ?A prayer altar...
Kuna watu wanaitwa "Silent Killers", au "Simba mwenda pole..." Umeshawahi kujiuliza kama kuna watu wa aina hiyo kwenye jamii au sehemu ulipo? Watu wa aina hii, wana pande 2 za shilingi. Kama...
Inaaana mtendaji mkuu ni mwanaume. Mwanamke yupo kama msaidizi tuu. So kupika, kufua, mausafi, kutafuta pesa ni kazi ya mwanaume.
Mwanamke anasaidia tuu pale mumewe anapozidiwa. Lakini mambo...
nimewahi kusuluhisha ugonvi uliotishia ndoa ya mtu mmoja.
mkewe alipojifungua mtoto wao wa kwanza aliwaambia kwanza rafiki zake (mashosti au mashoga zake) wote na mmoja wao ndiye aliyemwambia...
Habari wana JF?
Nimerudi tena katika jukwaa hili,kuwapa hatima ya mauzauza niliyo kuwa nikifanyiwa na mke wangu, Mauzauza ya mke wangu
ili msomaji apate kunielewa baada ya kupokea ushauri wenu...
Bwana yesu asifiwe!
Kutokana na watu wengi sasa kuwa mbali na Mungu, ndio imepelekea mapenzi/ndoa zimekuwa ni mateso, zenye uchungu hata wa kuua.
Wakati jamaa anapanga kumtafuta mwanamke malaya...