Hamjambo wana JF. Mie pamoja na marafiki zangu tunatafuta jinsi tutakavyo vipata vitabu vya David G Mailu. Hamna hata anayeifahamu website yake jamani? Nilikisoma kitabu chake mwisho nilipokuwa chuoni Dar. Vitabu vyake vichafu mno lakini tusijifanye eti malkia hatusomi vitu hivyo. Tunataka kupoteza mawazo