Tutafakari hii "mwanaume akapewa msaidizi"

Tutafakari hii "mwanaume akapewa msaidizi"

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
Inaaana mtendaji mkuu ni mwanaume. Mwanamke yupo kama msaidizi tuu. So kupika, kufua, mausafi, kutafuta pesa ni kazi ya mwanaume.
Mwanamke anasaidia tuu pale mumewe anapozidiwa. Lakini mambo yamebadilika now.
 
😡😡😡
 
we umeshageuzwa bushoke hapo kwako unatafuta kuungwa mkono.rudi kwenye mstari bro
 
Inaaana mtendaji mkuu ni mwanaume. Mwanamke yupo kama msaidizi tuu. So kupika, kufua, mausafi, kutafuta pesa ni kazi ya mwanaume.
Mwanamke anasaidia tuu pale mumewe anapozidiwa. Lakini mambo yamebadilika now.

Mkuu nimeshindwa kukuelewa
 
Mwanaume kupewa msaidizi ina maana gan
 
Na tufanye mtu wakufanana nae, kama tunafanana basi hapo ni kusaidiana cyo mmoja amsaidie mwingine 50---50 imefika mahili pake
 
Na tufanye mtu wakufanana nae, kama tunafanana basi hapo ni kusaidiana cyo mmoja amsaidie mwingine 50---50 imefika mahili pake

Bwana Mungu akaona si vyema mtu huyo akae peke yake nitamfanyia MSAIDIZI wa kufanana nae Mwanzo 2:18
 
Weweeeeee!! Msaudizi kikawaida ndo anafanyaga kazi zote manual. Mkuu kazi yake kubwa ni kufanya maamuzi na ku deal na mambo makubwa zaidi
 
kwa hiyo unataka kusema Mungu kaumba adamu na hawa mpya .. akaazna na hawa halafu akafuata adamu au?
 
Back
Top Bottom