Mrejesho: Hatima ya mauzauza ya mke wangu

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
917
Reaction score
597
Habari wana JF?

Nimerudi tena katika jukwaa hili,kuwapa hatima ya mauzauza niliyo kuwa nikifanyiwa na mke wangu, Mauzauza ya mke wangu
ili msomaji apate kunielewa baada ya kupokea ushauri wenu kuwa nisiondoke na kumwacha nyumbani na familia nilifanya yafuatayo.

Nilienda kazini kwake ilikujua matatizo ya wife wali mpalikizo ya lazima.?Nilifanya kikao kizito na wazazi pamoja na ndugu wa pande zote mbili,ali haidi kubadilika lakini baada ya ndugu kuondoka muvi iliendelea na alifika mbali kwa kunieleza kuwa ataniua akiwa bado ananipenda hivyo nisi mfuatilie.

Nilimpiga siku moja kipigo kikuu nika wekwa mahabusu kwa kosa la shambulio la kudhuru mwili nikafutiwa dhamana maana nilipandwa na hasira kiasi cha kujiapiza mbele ya maafisa wa polis kuwa nikitoka marehemu.Baada ya siku tatu nilitolewa na kuandikwa maelezo nakuachiwa huru baada ya mke wangu kutamka kuwa hataki kesi alicho taka ni pf3 tu baada ya kufika nyumbani alini kabidhi waraka mrefu, kwa ufupi aliomba inaendeleakwenye coment
 
Kwenye comment mbona hakuna kitu!!!? Nipo hapa nasubiri
 
Waraka ulikuwa na page mbili,kwa ufupi alinieleza kuwa chanzo chakufanya vitimbi vile nikuwa alichukua mkopo m 12 waka kubaliana ma rafiki yake wafanye biashara ya vitenge toka uganda kwa kushare mtaji hivyo akamkabidhi 10mil akatoko meanazo mazima ,na alipo omba ushauri kwa marafiki zake wali mweleza kuwa si bure kuna mkono wa mtu akashauriwa apelekwe kwa sangoma huku akihakikishiwa kufuta mikosi yote,majibu ya sangoma yalionyesha kuwa ,
nanukuu "mumewako,wafanyakazi wenzako,na majirani ni wanga hawataki maendeleo yako na rafiki yako ,hata ndugu wa mume hawakupendi".
Milioni na nusu ikamtoka kwa ajili ya tiba.hivyo akatokea kuni chukia. Mwisho wa waraka wake aliniomba msamaha,na akanihakikishia kuwa haja diliki kugawa penzi nje kipindi chote cha mtafaruku wetu.aliomba sana msamaha akamaliza kwa kunieleza kuwa bado ananipenda nimsamehe .
Nilimpigia simu na kumuuliza alipo akasema yupo kwa mfanya kazi mwenzake ,akaja baada ya dk 5.
Baada ya kuja ,...inaendelea kwenye comment.
 
kwenda huko soma mwenyewe sasa
 
Baada ya kuja nilimuuliza kama anaweza kunithibitishia maandiko yake ndipo ni msamehe, alinithibitishia kwa kuniletea bank statement inayo onyesha kiasi cha mkopo na miamala iliyo fanyika ,pamoja na mawasiliano ya marafiki zake,na mkataba ulio onyesha makubaliano ya kushare mtaji.
Nili msamehe na kumuhaidi kuwa tia mbaroni wabaya wake wote.NAAM,nilienda naye polis tukafunguli kesi iliyo husu kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu rb ilimuhusu mganga na yule rafiki yake,baada ya mganga kutiwa mbaroni ndani ya siku moja baada ya kesi kufunguliwa aliibua mazito kuwa mchezo ulisukwa ma marafiki zake wa mlize wawili anafanyanao kazi yule aliye mpeleka kwa sangoma feki na aliye toroka na pesa,mpaka sa wote wamekamatwa na polisi lisha ya kukubali kurudisha kiasi chapesa walicho mtapeli wife jana wamefikishwa mahakamani wakikabiriwa na mashitaka mengine matatu.
KWASASA MAISHA NA WAIFU MAPENZI MOTO MOTO UTAFIKIRI TUNA JUANA LEO. WIKI IJAYO TUNARUDI MAHAKAMANI.
WITO WANGU WA WANAWAKE HACHENI KUKURUPUKA,POLICE BIG_UP
 
Junior Recture acha utoto bwana, elezea kitu kwa pamoja ueleweke!
 
Last edited by a moderator:

Duuuuh pole sana mkuu!
Mungu mwema usimwache
 
Pole we! MUNGU AKULINDE NA UKASHINDE KESI.

Hata maandiko yameandika "........ishi na mwanamke kwa akili"
 
Back
Top Bottom