Your memory will forever be with us!

Your memory will forever be with us!

Warren T

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
664
Reaction score
409
Until we take our final breath, you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us!
 

Attachments

  • 1447566979159.jpg
    1447566979159.jpg
    20.9 KB · Views: 287
Hao ndio wanafadhili na kuunda makundi ya kigaidi....wanavuna walichopanda
 
1. Wao wakipeleka majeshi yao middle east mnaona wanafanya mazuri sana sio.
2. France ni mastermind katika vurugu nyingi unazoona katika nchi nyingi za francophone, hasa za kiafrika.
3. Libya, Algeria na hata support kwa unrest za Syria, Iraq hawa jamaa wapo.
Wanauwa wanawake na watoto, then wakirudi home wanasema "let us welcome our heroes"...
...wanavuna walichopanda, the world has never been fair.
 
Kisa Paris imedundwa ndiyo mnaumia, Africa kila siku wanauwawa watu humu lakini kimyaaaa.,

Makundi yenyewe wameyatengeneza wenyewe.
 
R. I. P KAMANDA MAWAZO. Ni huzuni na majonzi makubwa kuwapoteza wapendwa wetu kwani ni watu muhimu ktk maisha yetu. Innaa lillah wainnaa ilahi Raajuun. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina Lake lihimidiwe.
 
Until we take our final breath, you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us!
Pole ...poleeni sana.... Very Sad !!



Ndege zikishambulia watoto na kufeyeka ukoo mzima!!


Poleeni jamanii.......
 
we jamaa kweli umepotea.. unavunga kuuzunikia Paris huku Kenya tu hapa hukuja na post kama hii.
 
Back
Top Bottom