Vijana wasiooa na kuolewa vs Chips!

Vijana wasiooa na kuolewa vs Chips!

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,401
Halafu utawasikia wakilalamika oo nina mwaga mapema ooo sifiki kileleni kwa mtindo huo wa kula utalalamika sana mwanaume utakuwa huchukui hata DK 10 wanawake pia hawatalifurahia tendo la ndoa.

Mafuta sio kitu kizuri yanaharibu kila kitu.
 
akaaaa! mie kama mchungaji nimepika ugali na tembele,na nyanya chungu, nimekula na sasa npo kazini. saaafi.
 
Dah....ni sahihi.Kuna vijana wengine mlo wa mchana hula "tujiandazi" tuwili na chili sosi.😀😀
 
akaaaa! mie kama mchungaji nimepika ugali na tembele,na nyanya chungu, nimekula na sasa npo kazini. saaafi.

Uko vizuri mchungaji chips sio rafiki kabisa na tatizo ni upikaji wake ni mafuta tu
 
akaaaa! mie kama mchungaji nimepika ugali na tembele,na nyanya chungu, nimekula na sasa npo kazini. saaafi.

mchungaji usiku huu upo kazini...??? kazi gani hiyo mkuu
 
Heshima ya mwanaume mwanamke akuambie mwenyewe baas tena akikuambia bas unazidisha dozi mara mbili kila siku atakua akikuona anacheka mwenyewe
 
unaonekana bingwa wa kukariri kijana, ninyi ndo mnaofaulu shule lakini mtaani mnapigika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom