Wanawake, dating apps ni za kutafuta wapenzi sio kujiuza

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,425
9,823
Lengo la hizi apps ni kuwakutanisha watu kwa madhumuni ya kufahamiana na ikiwezekana kuanzisha mahusiano ya kimapenzi uko mbeleni.

Inasikitisha sana wakina dada wa bongo wamezipokea hizi apps wakifikiri ni platforms za kutangaza biashara yao ya ukahaba.

Siku moja nikiwa club ya warm up maeneo ya Iringa nilikua napiga story na mzungu mmoja hivi yupo kwenye moja ya izo apps. Nikamuuliza vp wakina dada wa Tanzania uliokutana nao uko mtandaoni, akanijibu "they are sex scammers".

Wakina dada hii tabia ya kuombaomba na kufikiri kufanya sex ni kumpa mwanaume favour ambayo anatakiwa kuilipia matokeo yake mnatuabisha uko mitandaoni. Msipopigwa breki siku sio nyingi mtaanza kutangaza biashara ya ngono mpaka linkedin.

Hizi apps ni kwa ajili ya kuwakutanisha wenye lengo la kufahamiana na kuanzisha mahusiano kama wakiona wanaendana.
 
Lengo la hizi apps ni kuwakutanisha watu kwa madhumuni ya kufahamiana na ikiwezekana kuanzisha mahusiano ya kimapenzi uko mbeleni.

Inasikitisha sana wakina dada wa bongo wamezipokea hizi apps wakifikiri ni platforms za kutangaza biashara yao ya ukahaba.

Siku moja nikiwa club ya warm up maeneo ya Iringa nilikua napiga story na mzungu mmoja hivi yupo kwenye moja ya izo apps. Nikamuuliza vp wakina dada wa Tanzania uliokutana nao uko mtandaoni, akanijibu "they are sex scammers".

Wakina dada hii tabia ya kuombaomba na kufikiri kufanya sex ni kumpa mwanaume favour ambayo anatakiwa kuilipia matokeo yake mnatuabisha uko mitandaoni.

Hizi apps ni kwa ajiri ya kuwakutanisha wenye lengo la kufahamiana na kuanzisha mahusiano kama wakiona wanaendana.
Kwanza ajira umepata?
 
Back
Top Bottom