Anusurika kushikishwa ukuta baada ya kufumaniwa na mke wa mtu Tandika

richaabra

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Messages
1,353
Likes
2,983
Points
280
Age
26
richaabra

richaabra

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2016
1,353 2,983 280
Wakuu hii ishu imetokea juzi usiku wa tarehe 12 Julai, bwana mmoja kwa jina la Ramadhani Mkami (34) mkazi wa Tandika Sokoni Usiku wa tarehe 12 Aliponea chupuchupu kushikishwa ukuta baada ya kufumaniwa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni iliyopo maeneo ya Temeke Mikoroshini.

Kwa mujibu Mwanaume aliyemfumania, anaeleza kwamba kwa kipindi kirefu mke wake amekuwa na mienendo isiyokuwa ya kawaida ikiwemo kuchelewa usiku wakati akitoka kazini na kutomheshimu kama mme wake wa ndoa.

Aidha Mwanaume huyo Anasema kuwa kunakipindi ilifika hatua mkewe kumnyima unyumba kwa kipindi kirefu bila sababu. Ndipo jamaa alipoanza kufatilia mienendo ya mke wake Ili kubaini kama kuna mtu anammegea tunda lake, hivyo akaamua kuweka mashushu na kuwapa posho kidogo ili wamtonye endapo watambaini mwizi wake.

Anasema, siku ya tarehe 12 mida ya jioni kama saa moja kasoro hivi, mkewe alimwambia kuwa amepigiwa simu ya ghafla kazini hvyo alihitajika kwenda na hata hivyo ilikuwa si kawaida yake kuingia kazini usiku.

Anasema mida ya saa mbili usiku alipigiwa simu na jamaa mmoja akampasha kuwa mkewe ameonekana maeneo ya temeke mikoroshini katika nyumba ya wageni akiwa na Mtu Asiyemfahamu.

Ndipo jamaa alipoamua kukodi njemba kama tatu hivi na kwenda moja kwa moja kwenye ile nyumba ya wageni aliyoelekezwa, kufungua chumba tu akamkuta mkewe aliyemuaga mda mfupi kuwa anaenda kazini yupo kifuani kwa mwanaume mwingine.

Jamaa hakutaka kuongea na mkewe ye alimwambia nenda myumbani, mkewe akakimbia chumbani akabaki mgoni, mavi yakawa yanagonga chupi. Jamaa akamwambia mke wangu hajanipa unyumba miezi mitatu sasa kumbe sababu ni wewe?

Leo ny** zote ntazimalizia kwako, daah jamaa alivuliwa nguo zote, na zile njemba ilikuwa bado kuvuliwa ch***, wafanyakazi wa ile guest kwa kushirikiana na majirani wakamuokoa.

Mmmh jamani wake za watu sumu!
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,686
Likes
49,479
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,686 49,479 280
Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,242
Likes
6,707
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,242 6,707 280
Boko wala wenzio ,boko nawe utaliwaaaa... Ni kawimbo tu...
Wangemlamba tu.. Mwenzio anahudumia ww unajifanya ndo unajua kusimamisha...
 
richaabra

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Messages
1,353
Likes
2,983
Points
280
Age
26
richaabra

richaabra

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2016
1,353 2,983 280
mke wa mtu sumu
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,625
Likes
1,150
Points
280
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,625 1,150 280
Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
kwanza mie nashanga sana mwanaume unakodi watu eti wakamfumue marinda njemba anaemega mke wako. wewe unaenda kufumania mwenyewe na ukishafika hapo wewe na jamaa mnamgegeda huyo mke kwa pamoja basi. nakuhakishia mke akirudi home mwenyewe anapaki virago na kuondoka
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
7,631
Likes
5,664
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
7,631 5,664 280
kwanza mie nashanga sana mwanaume unakodi watu eti wakamfumue marinda njemba anaemega mke wako. wewe unaenda kufumania mwenyewe na ukishafika hapo wewe na jamaa mnamgegeda huyo mke kwa pamoja basi. nakuhakishia mke akirudi home mwenyewe anapaki virago na kuondoka
Mmmh sijakupata!
 
CityHunter1

CityHunter1

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Messages
609
Likes
367
Points
80
CityHunter1

CityHunter1

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2016
609 367 80
Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
Naungana na wewe jama mwenye mke ni mjinga. Mtu hapo ni wazi hakutaki kampata mwingine bora zaidi yako. Unang'ang'ania nini? Ikinikuta issue ya hivi nawaita wazazi wako tena nakuacha kwa amani. So long as nina uhakika na nacho kiongea.Mgoni ana shida gani kwani? Labda kama amekubaka hapo sawa. Lakini kama umejipeleka kwa hiali yako mi simufatilii hat akidogo. Kama wamependana sawa tu
 
Uso wa nyoka

Uso wa nyoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Messages
4,803
Likes
1,480
Points
280
Uso wa nyoka

Uso wa nyoka

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2014
4,803 1,480 280
Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
Halafu,hata kama angefanikiwa kumwingilia mgoni wake,haina maana kuwa mkewe angerudisha mapenzi kwake. Wanawake walivyojaa hivi halafu mtu unahangaika na mgonjwa mmoja wa Malaria na mipango ya fumanizi juu? Pathetic!
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,111
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,111 280
weka picha...otherwise ni uongo
 
G

geraldkowero1

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2014
Messages
1,841
Likes
298
Points
180
Age
39
G

geraldkowero1

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2014
1,841 298 180
Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
Kwa kweli mara nyingi wanaume wanafanya makosa makubwa na ya kijinga tu.Yaani mkeo akishafikia hatua hiyo usijidanganye hata ukimsamehe litaendelea kuwepo penzi na upendo wa kweli.Hata Yesu aliagiza unaweza kumwacha mke kwa kosa la uzinzi.Wewe chukua ushahidi na mpe talaka siku hiyo hiyo na mahakamani hakushindi kwani ushahidi unao.Usije malizia hasira kwa mgoni wako eti unamshikisha ukuta kwani ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo cha maisha au miaka thelathini jela.Siku tatu jela mgoni wako na mkeo wanaoana.Umepata faida gani?
 
Wong Fei

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2016
Messages
3,757
Likes
4,141
Points
280
Wong Fei

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2016
3,757 4,141 280
Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
Mwanamke akiaanza dharau tu, hakuheshimu km zaman, missed calls anazipuuzia, halafu anakuwa mkali mkali hasa ukimweleza ukweli kuhusu tabia zake, kudai nimechoka bila sbb yyte.
Mkuu hii ishawahi kunikuta ila kwa kivile true love is blind nilipotezea tu. Kuna wakat huwa nikikumbuka huwa nakuwa na hasira sana
Usaliti upunguza mapenz, na huwez kumpenda km zamani.
Bas bana
 
Forum statistics

Threads 1,235,078
Members 474,351
Posts 29,211,427