Umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono.
Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au...
MLANGO WA 7 SIRI KUHUSU NDOA
Ndoa si kitu cha kudumu kwa lazima. Si gereza la milele, wala mkataba wa damu ambao lazima udumu hata kama moyo umekauka. Ndoa ni agano la muda, safari ya ujumbe...
Jana nimechelewa toka kazini sababu ya foleni. Mi na hasira zangu traffic ametusimamisha folenini masaa mawili. Narudi home eti naye kakasirika.
Nkamuuliza nini shida ananitizama kwa jicho kali...
Usimtumie meseji za userious sanaa
Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako...
Ni muda sasa huwa siwaelewi wanawake mnataka nn haswa kutoka kwa wapenzi wenu unakuta mwanaume umetulia na hauna michepuko unampenda mpenzi wako kwa moyo wote.
Unajitahidi kumfanyia kila...
Hellow
Niliwai kuleta uzi hapa kuulizia wapemba wapoje
Hii ni wakati wangu kwanza kudate na bint wa kipemba na wakiislamu mtumbue ilo huyu mpemba nilimpata katika mizunguko tukaanzisha...
Kuna wanaume hasara taslimu. Mtu unawaza mpaka unajisemea tu "mwe hata huyu naye ananitaka.mwanzo wa mikosi"
Mkaka anakuja INBOX na mbwembwe zooooote. Anasema yeye ana Mpini mkubwa. Nami nmemjibu...
Kauli hii ni ya ukweli kabisa na ni dhahili kwa kila ndoa sema tu wanaume wengi hawataki kujua hilo, . Kila ndoa ya msahili ina hali yake ya usiri, uaminifu hutegemea maamuzi, maadili, na uzoefu...
Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao?
Naombeni majibu hapa... na kama ni kweli, tufanyeje? na kama si kweli, shida hasa ni...
Watu wa “sitaki ndoa, sitaki stress, nataka amani” mnasahau kitu kimoja muhimu:
Hata ukiamua kubaki single, maisha hayana warranty ya furaha ya kudumu.
Mnasema ndoa ina kelele?
Basi tuambieni...
Hamjambo 👋🏽 👋🏽
Mimi ni mwanamume.
Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya.
Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
Toka saa 12 jioni niko kituo cha mwendokasi msimbazi b nasubiria usafiri nirudi zangu maskani
mida ikawa imeenda saa 2 kasoro apo watu kibao kila basi linalokuja wanaligombania
likaja basi liko...
Poleni sana na hali ya ufisadi unaoendelea hapa nchini wakuu.
Niko katka hali ya kutransform kuachana na michepuko na nibaki njia salama.
Sasa bana toka mwanzoni mwa week hii nikaamua kuweka picha...
Wakuu,
Kuna wakati nyege zinazidi mpaka hata mdada akipita karibu yako unamfanyia tathimini ya kina kwamba ungekuwa nae kitandani. Kwa wenzangu na mimi tunaoshinda maofsini hali hii hutokea na...
Nitakuhonga figo nikupe na moyo,
Baby me na wivu we jifunze uchoyo,
Chuma nilipotoka nilikuwa loyal,
Yaliyonikuta mengi nimekoma,
Oya noma,
Mapenzi noma,
Oya noma,
Yalinipa kahoma.
Ni muda wa...
HAKUNA RAHA KAMA KUWA NA MWANAMKE MZURI, MWENYE ELIMU NA PESA ALAFU AWE ANAKUPENDA.
Anaandika, Robert Heriel
Ooh! Sitaki Mwanamke mwenye Elimu,
Ooh! Sitaki Mwanamke anayejiweza kiuchumi,
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.