Kwa wadada: Kataa kuumizwa

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Wanaume tumekuwa watu wa ajabu sana tofauti na wadada, mdada yupo open na ni rahisi sana kumjua kama huyu ni wa kupita tu au ni wa kudumu naye.

Men tupo tofauti tuna mbinu zaidi ya 73 za kuficha uhalisia wetu, mwanamke anaweza kufika mahali akajiamini kabisa kuwa huyu ndiye lakini anakuja kushituka anakuta jamaa ana mke na watoto or jamaa hana mpango naye kabisa, muda huo wote binti alikuwa hajui na tayari ameshajihakikishia ushindi wa ndoa.

Sasa nyinyi dada zangu ambao ndo wahanga wakubwa wa mapenzi jitahidini kufanya utafiti wa kutosha mwanzo kabisa wa mahusiano.

Lazima ujue mpenzi wako anaishi wapi hii itakusaidia sana kuwajua watu wake wa karibu then kumjua yeye ni nani.

Chochote anachokuambia tafuta uthibitisho sio unakubali tu kama hujapita shule bana.

Pia jua kuwa thamani yako kubwa ipo kwenye papuchi, Wanaume wengi huwa wapo kwa ajili ya hiyo so kabla hujampa inabidi ujiridhishe kuwa huyu ni mpitaji au mkaaji usije baadae ukaanza kulia lia.

Vile Vile kuwa makini sana na mapenzi na mwanaume ambaye yupo mbali na macho yako, sisi sio wavumilivu kama nyinyi may be ni wachache sana.

Naomba niishie hapa.

Nawapenda sana.
 
Na kila unachofanya katika mahusiano fanya kwa kupenda,Sio kwa kulazimishwa...

Simamia kile unachoamini..Kama mtu hakuelewi yupo ambaye atakuelewa..Husiforce mambo..

Inaumiza zaidi kuwa mtumwa wa mtu kwenye mapenzi zen mwisho wa siku ukaja kuachwa
 
wanawake wakishapenda wanakuwaga kama mbwa kwa chatu, ukiona hajanyooka ujue umekutana na tapeli mwenzako
 
Hicho ndiyo target yenu wanaume mkipewa unafunua na kusepa
Papuchi inathamani_ imagine mtu ambae hakuzaliwa nayo nani atakubali kumwoa?
viungo vya siri ndo vinafanya mapenzi yawepo
We can say vinarun dunia
Okay. Your own mentality is your enemy in this. If you think sex is the only thing you can offer to a man, then that's the only thing men will be coming after.

Wise men hit and quit, or even pass the blondes, but they'll keep the brainy. Good luck.
 
Okay. Your own mentality is your enemy in this. If you think sex is the only thing you can offer to a man, then that's the only thing men will be coming after.

Wise men hit and quit, or even pass the blondes, but they'll keep the brainy. Good luck.

unadiriki kuzungumza lugha ngeni kwenye nchi ya kiswahili?!..laana ya BWANA iwe nawe
 
Back
Top Bottom