Nimepatikana!

Nimepatikana!

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
6,908
Reaction score
12,200
Jamani msaada tafadhari, mimi ni kijana mdogo( nunda flani ivi)
katika pilikapilika zangu za apa na pale,nimetokea kupita na tudemu twingi tu...ila hakika sijawahi kupenda(huwa napiga na kuacha...naogopa kuachwa),
kinachonikosesha amani ni huyu binti ambae niko nae sasa,ni binti mzuri tu, nmezaa nae twins(mapacha).. ila kwa bahati mbaya sikuwa na future nae tangu tunaanza upuuzi wetu(2013)...kinachonishangaza sasa ivi ule moyo wa ki-nunda niliokua nao mwanzo naona kama unatoweka...yaani binti anawezanifanyia vituko ila kumwacha nashindwa...na wakati hali kama hii haikuwepo zamani(nilikua nikifanyiwa vituko kdogo tu..naacha)
sasa najiuliza yawezekana ni upendo kweli?... au ndio limbwata hili jamani?(sikuwaga hivi).. maoni yenu tafadhari daah...
 
Muda wa kuoa umeshafika ukaona hivyo.

Kila jambo na wakati wake.
 
mwosha huoshwa kaka ni zamu yako sasa acha uisome namba na wewe:lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1:
 
jamani msaada tafadhari,
mimi ni kijana mdogo( nunda flani ivi)
katika pilikapilika zangu za apa na pale,nimetokea kupita na tudemu twingi tu...ila hakika sijawahi kupenda(huwa napiga na kuacha...naogopa kuachwa),
kinachonikosesha amani ni huyu binti ambae niko nae sasa,ni binti mzuri tu, nmezaa nae twins(mapacha).. ila kwa bahati mbaya sikuwa na future nae tangu tunaanza upuuzi wetu(2013)...kinachonishangaza sasa ivi ule moyo wa ki-nunda niliokua nao mwanzo naona kama unatoweka...yaani binti anawezanifanyia vituko ila kumwacha nashindwa...na wakati hali kama hii haikuwepo zamani(nilikua nikifanyiwa vituko kdogo tu..naacha)
sasa najiuliza yawezekana ni upendo kweli?... au ndio limbwata hili jamani?(sikuwaga hivi).. maoni yenu tafadhari daah...

Kama ni mtu wa kusini imeshakula kwako anza kutafuta waganga wakuague
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom