Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana jamvi, Nimefanya utafiti mdogo na kuona kuwa ni rahisi sana kumbadili dini binti wa kikristo kwa ajili ya ndoa kwenda upande wa pili ila ni vigumu sana kumbadili dini binti Wa...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
MImi naitwa Benja ni mkristo nina miaka 28 nipo mbeya natafuta mke wa kumuoa niishi nae umri miaka 20-24 aliye tayari anitumie sms namba 07669711490687076051.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
No relationship is problem free, but there are some that are common than others. These kind of problems can pose a great danger to your loving relationship if they aren't resolved quickly enough...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeipata kutoka kwa matumbo Changudoa wako aina 3 1. Changudoa huru - Hawa ni wale wanaosimama barabarani na sehemu nyingine za starehe. Wako huru yoyote yule hupata huduma. Wengi wao ni wezi...
1 Reactions
49 Replies
19K Views
Habarini Wakuu, Miaka ya nyuma Wazazi wetu walikuwa na nguvu sana ya ushauri na hata ya kufanya maamuzi magumu ktk ndoa ya watoto zao pale ndoa inapoenda ndivyo sivyo. Siku hizi ni wazi kwamba...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Januari 8 naingia katika ndoa panapo majaliwa nataka ushauri pamoja na nasaha.
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Thread hii ni jibu kwa thread moja ambayo mkuu hussein boxer kaianzisha mahali nimeona niijibu kwa njia ya swali pia ili wadau humu mfunguke na tupate majibu yaliyo sahihi na kuwe na usawa kwa...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Wengi wanakubaliana kuwa mke wa mtu sumu wakiwemo kina dada wasio na waume! Lakini cha kushangaza hao kina dada ndio mabingwa wa kupapasa dyudyu za waume za watu! Lakini pia waume wengi hung'aka...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Adele Laurie Blue Adkins alizaliwa tatehe 5 May 1988 North London nchini Wingereza. Ni mwimbaji na muandishi nyimbo, hasa nyimbo za mapenzi. Someone Like You ni miongoni mwa nyimbo zake zenye...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Eti ukiulizwa kirahisi tu unajibu sisi ni marafiki wa kawaida. Jamani urafiki gani huo na mke/ mume wa mtu usiku wa matisa?
5 Reactions
194 Replies
35K Views
Salaam wana JF Hope mpo powa, kama mtakumbuka niliwahi kupost hapa kuhusiana na aliekua shemeji mtarajiwa wa ndugu yangu kwenda Pakistan na hadi leo hajulikani alipo. Hadi sasa ameshatimiza...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Tujadili hili jambo kidogo je, ni sahihi kwa mwanaume kumhudumia mwanamke kabla hujamuoa?
0 Reactions
74 Replies
12K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nipo single natafuta mwanamke wa kuzaa naye mtoto mmoja. Umri usizidi miaka 25. Kama upo tayari njoo PM fasta sana.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Natafuta marafiki wa kike kutoka Arusha, good friend only girls mliopo Arusha. Pls pm me.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nitafurahi to have those nice friends
0 Reactions
0 Replies
758 Views
"Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng?ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanajamvi, Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa...
0 Reactions
119 Replies
17K Views
Habari Wana JF.... Kumekua na topics once in a while hapa MMU of guys complaining kua Kila mwanamke amtongozae anakataa…. Or kuna wengine ambao ni vice versa na husema kua wanawake wamekua rahisi...
33 Reactions
832 Replies
94K Views
Wanaukumbi, Mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa huwa yanapambwa na kupatikana watoto. Furaha huongezeka pale nyote wawili mnapokuwa hamna mashaka kuwa watoto waliopatikana ni wa nani. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…