stanley stanley
New Member
- Oct 11, 2015
- 2
- 0
Habari wana jamvi,
Nimefanya utafiti mdogo na kuona kuwa ni rahisi sana kumbadili dini binti wa kikristo kwa ajili ya ndoa kwenda upande wa pili ila ni vigumu sana kumbadili dini binti Wa kiislam kuhamia dini nyingine kufuata ndoa.
Binti wa kiislam yupo radhi uchumba uvunjike kuliko kubadili dini hata kama alikupenda kiasi gani.
Utafiti huu nimeutoa kwenye jamii tunamoishi, ni mara nyingi tangu nikiwa mdogo kuwaona ma binti wa kikristo wakisilimishwa kumfuata Mume, binti wa kiislam ni kinyume chake, ukicheza unaweza kushangaa wewe mwanaume ndio unasilimishwa.
Angalieni hata mastaa wa kike hapa bongo waliotaka kubadili dini kufuata ndoa, Wolper, aunt Ezekiel, Wema Sepetu, rose ndauka na watangazaji mbali mbali wa radio na TV, hili kundi baadhi yao walikua tayari kutoka kwenye imani yao kufuata ndoa wengine walipewa au kujipa kabisa majina mapya.
Lakini mbaya zaidi wasichana hawa wa imani yetu hujirudi tena pindi penzi au ndoa ikibuma sasa nimejiuliza, je hawa dada zetu huwa wanapenda kupitiliza kiasi cha kuwa vipofu?
Au hawana msingi mzuri Wa imani ukilinganisha na Dada zetu Wa kiislam? Ambao bora penzi au uchumba ufe kuliko wao kubadili dini?
Na je ni sahii kubadili dini kwa ajili ya ndoa?