Ipi ni njia mbadala ya kumwambia mwenza wako kuwa ananuka nanihii...?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,851
109,552
Kama Labda Una Mpenzi Wako Awe Wa Kiume au Wa Kike Halafu Ananuka Either MDOMO Or KIKWAPA Tena Kwa Kutoa Ile Harufu Kali Na ILIYOTUKUKA Ipi Labda Ni Njia Sahihi Ya Kumwambia Na Ya Kidiplomasia Ambayo Hata Ukimwambia Haitamuathiri Kisaikolojia Na Pengine Kujisikia Vibaya? Nasema Hivi Kwakuwa Yamenikuta Kwani Sasa Nina Girlfriend Wangu Mmoja Ambaye Kiukweli Yupo Vizuri Kila Idara Nikimaanisha UZURI, PESA, MALI, ELIMU Na MAHABA Anayajua ILA Ananuka Sana NDOMO Na KIKWAPA Chake Nadhani Kinatofautiana Kidogo Ki Harufu Na Dampo La Taifa Lililopo PUGU Na Leo Mchana Anakuja Hivyo Nataka NIJILIPUE Kwake ( Nijitoe Muhanga ) Nimwambie Kwani Sasa Imefikia Wakati Akiniambia Tu Kuwa Anakuja Naona MUDA WA ADHABU UNAKARIBIA. Ninampenda Mno Ila Tatizo Ni Hayo Maeneo Mawili Tajwa Hapo Juu.

Nitawashukuruni Kwa USHAURI MSAADA Wenu Ili Baadae Akija NIUFANYIE KAZI.​
 
Akija mpe whitedent na perfume

au mwambie kwa kingereza si unajua ukweli ukiambiwa kwa kingereza hauumi
 
Nenda nae hospitalin utakuwa shujaa wa mapenzi na akisha tibiwa hatakusahau milele sio kwamba hajui tatizo lake sema amekosa sapot
 
Wengine ni ugonjwa tu sio kwamba hawajisafishi, cha msingi fanya kama mnaenda kwa daktari umueleze halafu yeye atakushauri ufanyeje kwani wana mbinu nyingi za kudili na kesi hizo bila kumuathiri mgonjwa psychologically.
 
Mwambie baby wiki hii ni zamu yangu kukupiga mswaki na kukuogesha then unasafisha kwapa zote unamtandika na unyunyu wa kukata smell
 
Kama Labda Una Mpenzi Wako Awe Wa Kiume au Wa Kike Halafu Ananuka Either MDOMO Or KIKWAPA Tena Kwa Kutoa Ile Harufu Kali Na ILIYOTUKUKA Ipi Labda Ni Njia Sahihi Ya Kumwambia Na Ya Kidiplomasia Ambayo Hata Ukimwambia Haitamuathiri Kisaikolojia Na Pengine Kujisikia Vibaya? Nasema Hivi Kwakuwa Yamenikuta Kwani Sasa Nina Girlfriend Wangu Mmoja Ambaye Kiukweli Yupo Vizuri Kila Idara Nikimaanisha UZURI, PESA, MALI, ELIMU Na MAHABA Anayajua ILA Ananuka Sana NDOMO Na KIKWAPA Chake Nadhani Kinatofautiana Kidogo Ki Harufu Na Dampo La Taifa Lililopo PUGU Na Leo Mchana Anakuja Hivyo Nataka NIJILIPUE Kwake ( Nijitoe Muhanga ) Nimwambie Kwani Sasa Imefikia Wakati Akiniambia Tu Kuwa Anakuja Naona MUDA WA ADHABU UNAKARIBIA. Ninampenda Mno Ila Tatizo Ni Hayo Maeneo Mawili Tajwa Hapo Juu.

Nitawashukuruni Kwa USHAURI MSAADA Wenu Ili Baadae Akija NIUFANYIE KAZI.​

Mnunulie mouthwash au deodorant.
 
Akija mpe whitedent na perfume

au mwambie kwa kingereza si unajua ukweli ukiambiwa kwa kingereza hauumi
Kweli hata matusi ya kiingereza huwa pia sio makali. Hata humu ukiandika sehemu za siri za kiume na kike kwa kiswahili wanakufungia lakini ukiandika kwa kiingereza wanakuona msomi. Ilishanikuta. Wewe andika penis au vagina hakuna neno lakini andika kwa kiswahili uone cha moto. Sema sasa kama atakuwa hajui hicho kiingereza ndio tatizo zaidi
 
kutokuwa wawazi katika mauhusiano ndo chanzo cha kutodumu... inabidi muwe wawazi kwa kila kitu.... huyo tatizo analijua na wewe tatizo unalijua.... mshauriane either tiba mbadala au hospital
 
Fanya unafungua hii thredi afu uwe unazuga kusoma kila coment kwa sauti, afu mwisho umwambia itabid kila mmoja atekeleze tuone nani atanuka.
Dawa ya kikwapa ni kusugulia ukoko wa ugali.
 
Mwambie hivi " Ki ukweli baby nimekagua idara zako zote upo vizuri kasoro idara mbili tyu zina MLIO ambao si wa kawaida hivyo naomba nivae mask nikubembee cha muagano tuachane sawa!"
 
Kama Labda Una Mpenzi Wako Awe Wa Kiume au Wa Kike Halafu Ananuka Either MDOMO Or KIKWAPA Tena Kwa Kutoa Ile Harufu Kali Na ILIYOTUKUKA Ipi Labda Ni Njia Sahihi Ya Kumwambia Na Ya Kidiplomasia Ambayo Hata Ukimwambia Haitamuathiri Kisaikolojia Na Pengine Kujisikia Vibaya? Nasema Hivi Kwakuwa Yamenikuta Kwani Sasa Nina Girlfriend Wangu Mmoja Ambaye Kiukweli Yupo Vizuri Kila Idara Nikimaanisha UZURI, PESA, MALI, ELIMU Na MAHABA Anayajua ILA Ananuka Sana NDOMO Na KIKWAPA Chake Nadhani Kinatofautiana Kidogo Ki Harufu Na Dampo La Taifa Lililopo PUGU Na Leo Mchana Anakuja Hivyo Nataka NIJILIPUE Kwake ( Nijitoe Muhanga ) Nimwambie Kwani Sasa Imefikia Wakati Akiniambia Tu Kuwa Anakuja Naona MUDA WA ADHABU UNAKARIBIA. Ninampenda Mno Ila Tatizo Ni Hayo Maeneo Mawili Tajwa Hapo Juu.

Nitawashukuruni Kwa USHAURI MSAADA Wenu Ili Baadae Akija NIUFANYIE KAZI.​

Mwambie ukweli ila usiwe serious sana. Halafu mpige madenda ya nguvu. Then mnunulie chochote kitakachomsaidia kutibu hali yake kama hizo mouth wash
 
Back
Top Bottom