Wandugu wapendwa nilikuwa siamini kama mtu anaweza kupata mke JF, lakin Jana nimeamini baada ya rafki yangu kufunga ndoa na mdada waliokutana jukwaa hili la JF.
Hii imenipa hamasa sana maana sikutegemea kbsa kama ingewezekana.
NAMIMI KWA UJASIRI MKUBWA natangaza natafuta MKE.
Mke ni mtakae awe na sifa zifuatazo
1* mwenye umri kuanzia miaka27-33
2*mkristo
3*elimu angalau sec.
4*mrefu kiasi
5*kabila lolote
6*mwenye shughuli halali ya kumingizia kipato
7*mwenye nia ya dhati kuingia kwenye ndoa
8*muwazi na mkweli
Mimi sifa zangu hizi hapa.
1* umri wangu miaka35
2*mkristo
3*elimu yangu degree
4*mrefu
5*muajiliwa WA serikali
6*kabila mnyamwezi
7*muwazi na mkweli
Yeyote aliye serious ani pm tuwasiliane zaidi.
Mizaha na kejeli sizihitaji kama huna uhitaji naomba upite kwa amani.
Nawakilisha.