Habari Zenu???
Nawakumbusha tu kwamba uhusiano na urafiki mwema na uhusiano mwema unaonyesha sura ya Mungu na unampendeza Mungu. msikae kihasarahasara halafu mkadhani kwamba ndivyo Mungu anavyotaka. kwa mfano leo ni Jumapili. je mmeenda kanisani pamoja au kusali pamoja?? au mpo bar. kama mnajali heshima yenu jumapili siuo kwa ajili ya kikaa bar.
MARAFIKI WEMA NI MARAFIKI WA MUNGU