God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Yaweza kuwa makosa, furaha au jambo lolote.
Mimi kitu ambacho sitawahi sahau nlimtongoza msichana mwenye UKIMWI unajua nilizidiwa halafu nilikua maeneo ya usalama mimi nikamfata niikamwambia kinacho nisibu moyoni akanikubalia akaniambia kesho nimfate na condom nami nikafanya hivyo.
Basi nikatimiza haja yangu nikaja kusikia ana ngoma daa! nilifurahi kwa wema wake na Mungu ampe maisha marefu sikuwa hata na hela because nilikua student.
Kwa kweli na aman sana kwani now ni mzima wa afya tele.
Nyie mnaopinga kondomu acheni ujinga itumieni vizuri kwa usalama wa hali ya juu mtaona matunda yake.