acanthocyte
Senior Member
- Nov 27, 2012
- 190
- 159
Wanajamiiforum salam...
Naomba mniambie kama inawezekana kupenda tena baada ya kuumizwa na mpenzi wako wa siku nyingi. Mpenzi mliepitia nae raha na shida kwa miaka mitano.
Kuna watu wanasema mtu anapenda mara moja tu katika maisha yake na wengine wanasema unaweza penda tena zaidi ya yule wa kwanza. Kama hili hili la pili ni kweli, je upendo unagawika?
Samahani kwa kutopangilia vizur mada yangu ila naomba kushare experience zenu za haya maisha ya mapenzi.
Mimi ni mwanaume na inawezekana mkaniona ni mzaifu sana ila ukweli moyo umavuja damu. Nahofia ntaishia kuwa player. Naombeni uzoefu wenu tafadhali.