Kapata mchumba, kumwambia baba kamwambia ni dada yake

Kapata mchumba, kumwambia baba kamwambia ni dada yake

47pro

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
1,204
Reaction score
334
Visa vya kuzaa nje ya ndoa. Kijana alimwambia baba yake nimepata mchumba nataka kuoa, ni yule wa nyumba ya nyuma. Baba akamwambia
tafuta kwingine yule ni dada yako ila mama yako hajui usimwambie.

Kijana katafutamsichana wa pili kaambiwa huyo pia dada yako, msichana wa tatu hivyohivyo. Kijana akaenda kumwambia mama yake. Mama
akasema kaoe yoyote kati yao, kwani huyo sio baba yako mzazi yeye hajui, ila usimwambie.
 
Back
Top Bottom