nimebadili din wazaz wangu hawajuii

nimebadili din wazaz wangu hawajuii

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
nimebadili din 4/9/2015 wazaz wngu bado hawajui . sijawaambia siwez kuwaambia. sijaenda kanisan toka nimebadili din. christmas inakuja lazma wazaz wangu wataniambia tuende pamoja kanisan. sijajua bado nitumie uongo gan ili nisiende. siwez kuongopa naumwa. naomba mnisaidie niseme nn wanielewe?
 
Cha muhimu kuwaeleza ukweli, unaweza kuwaambia sababu zako zilizokufanya ubadili dini. Pengine na wao wakaziona zina umuhimu pia wakakufuata. Au kama unaona vigumu waelezee kwenye simu au mtumie mtu mwenye hekima na kuongea nao.
 
  • Thanks
Reactions: Art
we dada na visired vyako bwana......sio ww uliesema uko na uvimbe na hujawaambia wazaz...kila kitu sijawaambia wazaz...
tulia shuleni ukasome, u-star wa humu hauna faida kbsaa utaishia kuharibia maisha yako bure.
mawazo yangu lakini.
 
ulishapona uvimbe kwenye K yako?

mara ya mwisho ulituambia una uvimbe na unaogopa kuwaambia wazazi wako.
 
Ukiwa na MIMBA uwaambie bhana maana yenyewe sio ya kujificha muda mwingi kama dini na uvimbe!!
 
Kama unaweza kufanya maamuzi ya kubadili dini ina maana umekua mkubwa, panga nyumba yako uanze kujitegemea vinginevyo lazima ufuate mashariti ya wazazi.
 
Waambia na pia uwaambie nini kilichokufanya ubadili dini?
 
huyu thread zake mwishoni lazima amalizie neno sijawaambia wazazi....
seems ni dogo sana sijui pupa ya nini
 
we dada na visired vyako bwana......sio ww uliesema uko na uvimbe na hujawaambia wazaz...kila kitu sijawaambia wazaz...
tulia shuleni ukasome, u-star wa humu hauna faida kbsaa utaishia kuharibia maisha yako bure.
mawazo yangu lakini.

Hahahaa kumbe jf kuna mastar...nilichelewa kuja mjini kumbe
 
badilisha jina uitwe Sijawaambia Wazazi cz tushakuzoea sasa
 
ulishapona uvimbe kwenye K yako?

mara ya mwisho ulituambia una uvimbe na unaogopa kuwaambia wazazi wako.

ahahaaaa...aaahaaaa....nimecheka sana, maana
mada iliyoletwa na kilichojibiwa ni pilau na mlenda.

mada zake zingine ndugu mleta mada:
[h=2]Kuumwa kiuno na miguu wakati wa hedhi[/h]
Nikiwa katika period miguu na kiuno kinauma sana. Hospital wamenipa dawa ambazo nameza kila mwezi nikikarbia kuingia tena.

Nani anajua dawa ya kuponyesha kabisa?
​



https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/986953-kuumwa-kiuno-na-miguu-wakati-wa-hedhi.html
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom