TAMU NA CHUNGU YA KU-DATE NA MABINTI WA USWAZI vs WA-KISHUA

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu baada ya kugegeda mabinti wa pande zote mbili yaani wa-uswazi na wa-kishua katika nyakati tofauti;

USWAZI:

Tamu ya watoto wa uswahilini


1:hawavungi kwenye kugegedana yaani ukifika kwenye hii sekta unapewa ufundi wote mpk njonjo la akiba ukiwa mgeni unaweza kusahau hata jina lako.

2:Hakuna gharama hizi za kiwendawazimu mnatoka hata uswazi take away yeye kwatuuu hata ukinunua hizi nguo hana muda wa kuuliza za designer gani mara LV au GUCCI, halafu uko ice cream nini, cjui ya Mlimani city anasoma kwenye kiu na ijumaa.

3:Upatikaji wao ni rahisi sanaa, yaani anaweza kuibuka ile katumwa dakika chache anakuletea ufanye yako mara 1 kupeana sio kwa mbinde mpk uandike barua ya maombi

4: Hawana kuch kuch km hakutaki unaambiwa hapo tu, zile jibu kesho hakuna, zile nikafikirie kwnz na akikuelewa usishangae akakusanua macho makavu vile anajickia

CHUNGU

1:Usimkurupushe kwny kugegedana unaweza kukutana ndani kavaa bukta ya Manchester utd namba 10, kumkuta kavaa pichu nzr mpk ajue anaenda kwny kugegedana.

2:Jiandae kutegemewa mpk pesa ya topaz maana asbh uyu hapa kagonga mlango hana pesa ya topaz au vitafunwa kwa ajili ya chai.

3: Hawachelewi kupaki basi hapo kwako mara leo kaacha kitenge kesho tops ukishtuka nguo zake zote ziko kwako msala kumtoa sasa, lazima usingizie ndg kafa au mama anakuja.

WA-KISHUA

Tamu ya hawa watoto sasa


1:Wana changamoto za kutafuta hizi sarafu maana ukifikiria w'end lzm akili iende race, mfn mm wamenifanya mpk leo niwe nakaza mpk naona kawaida.

2:Wanafanya uwe up to date ile nn kinaendelea duniani ni kawaida hizi fashion alafu muda wote ni smart izi G-string na bikini kawaida kwao na mambo km izo zinakua kawaida hii lugha iliokuja na meli lzm utaijua tu.

3:Wanajua kudeka na kudekeza duh hawa watoto hapa waache ile umekula nn babe....OMG haujaloana babe na hii mvua ni kawaida, sasa mideko yao mbele kadamnasi atataka umnawishe mikono au umlishe.

CHUNGU

1:Duh jipange kwny gharama maana wallet lzm iwe inatoka damu daily mm nshawahi dondoka eneo bia hii ya kawaida buku 8 kdg niombe pooo, unaweza potea step ukajikuta umekua kontena la sembe hivi hivi ili kuongeza kipato.

3:Sekta ya faragha wengi ni wachovu sn wanajua ile pre-match preparation tu mbele uko hawajui, mby zaidi ukipasia kamba 1 basi kachoka hawataki vurumai mara umegongesha mwamba ni wavivu sana.

4:Maigizo mengi mapenzi km series za kifilipino au La Mujer vile anataka akuletee zile za Rhihana duh km mkono wako mwepesi daily utampa viganja wanaigiza kila kitu simply kila kitu chao ni maigizo.

5: Ukitaka gemu j1 inabidi uanze kuomba cku 5 kabla unaweza kua una hang nae out daily unaishia hii French kiss ht ulale nae mzigo haupewi.


Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu mimi. Kama yapo mengine ongezea, sio kesi. Pia kama mengine haujakubali sawa, ila mimi yamenikuta.
 

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,948
2,000
.....kama umetokea huko kwa matawi hutaona shida, mi hyo isidingo naapa kwa mungu cjawah itazama, yan nikiweka itv nikaikuta fasta nahama au nazima tv nilale, yeye atataka mhadisiane isidingo, wap na wap..
 

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
.....kama umetokea huko kwa matawi hutaona shida, mi hyo isidingo naapa kwa mungu cjawah itazama, yan nikiweka itv nikaikuta fasta nahama au nazima tv nilale, yeye atataka mhadisiane isidingo, wap na wap..

Haaaahaa duh ukikutana nao wenye Isidingo yao utajuta ile imeanza unapigiwa cm uku anataka muwe mnaijadili afu cku izi ziko kibao utapagawa u-tune channel gn
 

Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Hahaaaaa, kie kie kie! mkuu una uandishi flani ivi unaofurahisha sana. Sina experience navyo lakini vinaingia akilini.

Mie tangu nikiwa mdogo niliambiwa Uanaume ni pamoja na kuwa mgumu, Binti awe wa kishua au wa uswazi, On Mwanaume's terms. Hayo mengine watajuana na wavulana wa siku hizi. Mwanaume halisi anasimama kwenye uhalisia na uwazi. Kama huna uwezo wa kunywa bia ya elfu kumi, usinywe, hio kujilazimisha eti usionekane huna hela, to hell. Sina sina; ninayo tuitumie kwa hekima, kujilipua mara moja moja ruksa.

Mwanaume haigizi maisha, japo mara moja moja hakukosekani, mvulana ruksa kuigiza full time.
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,109
2,000
Hahahaaa nimejaribu kuvuta kumbukumbu nimeshindwa....nshajizekeea mie Kazi kwenu vijana. Huyo Mama watoto wangu mwenyewe tunaenda gemu zile za kawaida tu
 

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
wewe ni mwanaume wa kishua au wa uswazi? tuanzie hapo....

Haaahaaa komse komse kwa ss ila kwny ujana ule wa mabalaa ilikua ushuwani ss ivi mbali na wazazi naishi kawaida siwezi jiita wa kishua au uswazini...nimeeleweka nadhani tho still i cn afford both of 'em.
 

Visenti

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
1,022
1,170
WA-KISHUA:Duh jipange kwny gharama maana wallet lzm iwe inatoka damu daily

Wa-Kisure hawana huruma, wallet ikibleed hadi kwisheni, wanahamia kwa wallet mpya, ni kama VAMPIRES
Wa-Kishua.jpg
 

Baraka Roman

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
692
0
Uswazi muda wowote unampata hakuna geti wala mlinzi,we unasogea kwao then unapiga mruzi kitu hicho kimetoka.

Uswazi vikazi vidogo vidogo kama kufuliwa,kusafishiwa nyumba utafanyiwa,wakishua wanaogopa kucha zitakatika au rangi itatoka..unaanza maisha then anakwambia baby kwanini usinunue Mashine ya kufulia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Uswazi muda wowote unampata hakuna geti wala mlinzi,we unasogea kwao then unapiga mruzi kitu hicho kimetoka.

Uswazi vikazi vidogo vidogo kama kufuliwa,kusafishiwa nyumba utafanyiwa,wakishua wanaogopa kucha zitakatika au rangi itatoka..unaanza maisha then anakwambia baby kwanini usinunue Mashine ya kufulia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Haaahaa asante mkuu kwa kuongeza hawa wa kishua hawafui ni mwiko kwao maana zao kwa ni house girl itakua zako maana kucha tu zimegharimu km buku 20 ivi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom