''nguvu ya taifa''
Umechepuka tu unaona ghari je ukichochora?
Yaaan aisee jamani michepuko gharama asee asikuambie mtu.Vinywaji,chakula, usafir ,, hivyo vyote unatumia pesa,, alaf bade ndio uje ule Tunda sasa,, hapo ni Lodge tena ni pesa..